Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

Nini kifanyike sasa
Ni kumuomba Mungu akupe njia bora na faraja pamoja ,kutubu na kujitakasa kama una muamini Yeye.

Hatua ya pili ni kuamka kuangalia wapi ulipokosea na kupambana kwani hata ulie ,ulaumu ,ujiue ,unywe mapombe bado haitasaidia kitu na jua linaendelea kuchomoza mashariki na kuzama magharibi bila kujali kuwa wewe umekaa na haupo comfortable
 


Katika hiyo kumbukumbu hayo maneno anaambiwa myahudi au Mtz??
 
Akili hiyo ni ma genius tu tunao weza kukubaliana nayo na kukuelewa ...mimi nikimwona mtoto mdogo anakufa huwa namwonea wivu sana.

Genius ni yule anayejua kusudio la maisha yake hapa duniani.
 
Kupanda kwa gharama za maisha kumesababisha watu wajute kuishi🀣🀣🀣🀣
 
Hii inanikumbusha movie ya Capernaum, dogo aliwashitaki wazazi wake kwa kumzaa!.. 😒

 
Balqior ulishaabortiwa na mama yako mzazi mkuu ukapewa chance ya pili ndo huyo mama msamaria akakuzaa
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ukipitia msoto flani haya mawazo yanakujaga sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo mana mnanda waliimba " nikifikiria dunia mwenzenu najijutia nawahi kukufuru Mungu kwanini nilizaliwa!!!
 
Wewe siyo kundi la magenius hivyo uwezi kuelewa hiyo ni akili kubwa sana.


Kwahiyo kundi la magenius ni nyie mtoto akifa mnamuonea wivu??!!---kwahiyo mtoto wako akifa utalia kwa uchungu wa kufiwa au utamuonea wivu kwa kufa kwake??!!, ewe Genius hebu jibu hapo!🀣
 
Nakubali kabisa, dini zinatutaka tujione wenye bahati kuja duniani.

Unajiuliza bahati gani kwa ugumu huu? Tusingezaliwa tungepata shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…