Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Raisi lazima lazima amalize miaka 10 ya kuitawala Tanzania labda msiba utokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
17 Rais bado haamini kama kweli ni rais
Hapo hakuna ulichojifunza bali unareport ambacho sote tulikisikia janaYafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo.
2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo.
3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata commitment ya trillion 7 Kama mkopo nafuu.
4. Mikopo anayochukua Rais Samiah Ni ya masharti nafuu, kwa maana hayana riba.
5. Serikali kwa Sasa inakopa ili ikalipe madeni ambayo yameanza kumature.
6. Rais anaamini ya kwamba maendeleo yanapatikana kwa kukopa.
7. Rais anaamini yeye siyo Rais wa Kwanza kukopa na kwamba huko nyuma tuliwahi kukopa Sana mpaka tukaitwa high indebtet country.
8. Rais anaamini kwamba mkopo wake ndio Bora kuliko mikopo mingine yote ambayo awamu zingine zilizopita zilikopa.
9. Rais amekiri tozo Ni kidogo haziwezi kuleta maendeleo, hivyo tutakopa na kutoza kwa wakati mmoja.
10. Rais anaamini kwamba wananchi wameridhika na tozo hivyo tozo zitaendelea Sana.
11. Rais amekiri ya kwamba Tanzania sio ya kwanza kutoza hata nchi kubwa huko Zina tozo nyingi.
12. Rais anaamini adui yake mkubwa yupo ndani ya CCM na sio upinzani.
13. Rais hafanyi maendeleo kwa ajili ya mwaka 2025, Bali kwa ajili ya watanzania.
14. Rais anaamini kuna baadhi ya mawaziri wanafanya kazi kwa ajili ya 2025, na anania ya kuwaondoa.
15. Rais anaamini wanaompinga kwa Sasa Ni wale waliokuwa wanamdharau kwamba hataweza majukumu ya kuleta maendeleo Sasa wanashangaa anafanya maendeleo.
16. Mwisho, nilichojifunza ni kwamba kiongozi yeyote ndani ya CCM atakaye toa maoni tofauti kwenye suala la mikopo atachukuliwa ana malengo ya kumpinga Rais na yupo kwenye kundi la maadui linalotaka urais.
Wewe Kama mwanajamii forum ulijifunza Jambo gani kutoka kwenye hotuba ya Rais Jana?.
🤣🤣Hii nchi inapaswa iongwezwe kibabe kibabe kama Hayati JPM.....kinyume cha hapo wataisumbua sana awamu ya 6.
awamu ya 5 watu wote walikuwa na heshima lkn sasa kila mtu kaota masharubu.
Wanufaika wa hiyo mikopo hata watoto wa ndugu zako vijijini huko ni wanufaika kwan madarasa na vituo vya afya na shule zinazo jengwa zinamnufaisha nani? Kuwa na akiliwapo wanaomuunga mkono,,na wanao munga mkono ni wale wanaofaidika na hizo mkopo,, bnafs nipo na ndugai.
Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo.
2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo.
3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata commitment ya trillion 7 Kama mkopo nafuu.
4. Mikopo anayochukua Rais Samiah Ni ya masharti nafuu, kwa maana hayana riba.
5. Serikali kwa Sasa inakopa ili ikalipe madeni ambayo yameanza kumature.
6. Rais anaamini ya kwamba maendeleo yanapatikana kwa kukopa.
7. Rais anaamini yeye siyo Rais wa Kwanza kukopa na kwamba huko nyuma tuliwahi kukopa Sana mpaka tukaitwa high indebtet country.
8. Rais anaamini kwamba mkopo wake ndio Bora kuliko mikopo mingine yote ambayo awamu zingine zilizopita zilikopa.
9. Rais amekiri tozo Ni kidogo haziwezi kuleta maendeleo, hivyo tutakopa na kutoza kwa wakati mmoja.
10. Rais anaamini kwamba wananchi wameridhika na tozo hivyo tozo zitaendelea Sana.
11. Rais amekiri ya kwamba Tanzania sio ya kwanza kutoza hata nchi kubwa huko Zina tozo nyingi.
12. Rais anaamini adui yake mkubwa yupo ndani ya CCM na sio upinzani.
13. Rais hafanyi maendeleo kwa ajili ya mwaka 2025, Bali kwa ajili ya watanzania.
14. Rais anaamini kuna baadhi ya mawaziri wanafanya kazi kwa ajili ya 2025, na anania ya kuwaondoa.
15. Rais anaamini wanaompinga kwa Sasa Ni wale waliokuwa wanamdharau kwamba hataweza majukumu ya kuleta maendeleo Sasa wanashangaa anafanya maendeleo.
16. Mwisho, nilichojifunza ni kwamba kiongozi yeyote ndani ya CCM atakaye toa maoni tofauti kwenye suala la mikopo atachukuliwa ana malengo ya kumpinga Rais na yupo kwenye kundi la maadui linalotaka urais.
Wewe Kama mwanajamii forum ulijifunza Jambo gani kutoka kwenye hotuba ya Rais Jana?.
Kulikua na hotuba jana?
Kwanini waanze kukosoa kwa samia wakati serikali zote ziliyafanya haya haya? Tena mengine ya ajabu kabisa kuwahi kutokea mbona walikuwa kimya na wasifiaji?serikali ya jpm ilikuwa ngumu mtu kuweza kukosoa kwa hofu.
serikali ya ssh unajihisi upo huru kutoa maoni au kukosoa, ila ujiandae kuchambwa
Ndo kwanza tupo january.Huu mwaka bora uishe tuu::
OVER:
Mikopo ya nchi za kiarabu haina riba bwashee labda kama ulikuwa hujui hilo,we kiazi acha kuhadaika na maneno ya wanasiasa, hakuna mkopo usio riba kwa beberu.
Sijui alikuwa anawaza nini yule mzee, ni Mtu mpuuzi tu ndio atamfisia yule mzee alivyokuwa anaipeleka Nchi shimoni!Na hii ni very important, ile mikopo ya lile jinamizi ilikuwa ni ya muda mfupi na yenye riba kubwa sana.