Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.

1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo...
Nilichojifunza mimi hii dunia ni ya Mungu,hamuwezi kumpiga marisasi mwenzenu kama mbwa mkabaki salama mwenyezi Mungu alimponya lissu MAKUSUDI ili ashuhudie watesi wake wakihadhilika!!
 
Raisi anataka kuondoa sukuma gang na wafuasi wao. Kazi iendelee
Nimekuelewa

IMG-20220105-WA0008.jpg
 
Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.

1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo...
Mama alisema earlier “Ukinizingua Nitakuzingua” nadhan watu wengi muda huu wamesahau hii kauli ya Mama.,

Job akijifanya mtemi sana alishindwa kufahamu Rais wa Nchi ni Rais ni vile hakuwa na uvumilivu amevuna alichokipanda on the sport., Mama amekamilisha alichokuwa anakisema mapema ukimzingua anakuzingua
 
mkopo wa covid mmepewa na waarabu?
Hiyo sio hoja niliyo ijibia usihamishe mjadala kwa maslahi yako hapa hatuujadili mkopo wa COVID bali nilimjibu aliye sema hakuna mkopo usio na riba akili huwa mnaacha wapi? Acheni kukurupuka
 
Umejaa husda tuu Mkuu, fitna fitna hivj na mambo yafananiayo na hayo. Hivi kweli ni busara kumnanga Rais kwenye public wamati nafasi ya kwenda kumuona private kama jambo haujalifurahia unao? Sasa acha awaadabishe.
Gud idea but statehouse ni next level kwenye balanced thinking, guess what?something fishy with presidential advisory committee chini ya waziri wa fedha, pia waziri mlezi wa Ikulu hatoshei kwenye maturity na akili pevu.
 
Mama na mimi nina nia ya kugombea 2025 kwa ticket ya CCM,haya anza kunichamba
 
23.Raisi anataka kuamini kuwa ana uwezo mkubwa wa kimawazo bila kumsikiziliza au kushauriana na mwenza wake kuendesha nchi.
Mama ana hoja kwanini huo ushauri iwe leo ndugai angemuhoji mwendakuoza kipindi kile sizani kama angepata kichambo cha maji ya betri jana.
 
Hiyo sio hoja niliyo ijibia usihamishe mjadala kwa maslahi yako hapa hatuujadili mkopo wa COVID bali nilimjibu aliye sema hakuna mkopo usio na riba akili huwa mnaacha wapi? Acheni kukurupuka
we ndo umekurupuka, post uloquote inamzungumzia beberu alafu we unaleta habari za mwarabu.
 
wapo wanaomuunga mkono,,na wanao munga mkono ni wale wanaofaidika na hizo mkopo,, bnafs nipo na ndugai.
Huu mkopo unafaidisha watu binafsi? Nilifikiri nchi kwa ujumla ndiyo inafaidika, hivi sio unaenda kujenga miradi
 
Pesa za mkopo zimepigwa.
Imagine juzi kati tulipewa list ya shule na hospitali zinazokarabatiwa kwa TOZO afu mara bini vuu tukaletewa peza za COVID 19 kwa ajili ya ujenzi wa shule hizohizo..
 
Back
Top Bottom