Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

Nyakat za mwendambingun watu wawil au watatu wanajichimbia ikulu na kuamua kukopa mihela kimya kimya halafu mzee akitoka barabarani anawaaminisha watu nchi ina mihela mingi na hawakopi.

Ameondoka kaliacha linchi halina kitu na mamirad kibao+miden mikubwa mikubwa...tena nadhan hyo vp ndiye anapaswa tumning'inize coz ndiy alikuwa anashirikiana na mzee kutupiga mchanga machoni. Kibaya sana mama naye akakubal kirahis tu huyo m-kigoma awe vice wake.

Leo wale walioshirikiana na mwendazake ndiy wanataka kumsulubu mama,ashindwe kutekeleza mamirad yale and then watujie na porojo za "Mama amefeli'....hapana,na tuseme hapana wamwache mama afanye kaz..over!
 
23.Raisi anataka kuamini kuwa ana uwezo mkubwa wa kimawazo bila kumsikiziliza au kushauriana na mwenza wake kuendesha nchi.
 
Hapo hakuna ulichojifunza bali unareport ambacho sote tulikisikia jana
 
Hii nchi inapaswa iongwezwe kibabe kibabe kama Hayati JPM.....kinyume cha hapo wataisumbua sana awamu ya 6.
awamu ya 5 watu wote walikuwa na heshima lkn sasa kila mtu kaota masharubu.
🤣🤣
 
wapo wanaomuunga mkono,,na wanao munga mkono ni wale wanaofaidika na hizo mkopo,, bnafs nipo na ndugai.
Wanufaika wa hiyo mikopo hata watoto wa ndugu zako vijijini huko ni wanufaika kwan madarasa na vituo vya afya na shule zinazo jengwa zinamnufaisha nani? Kuwa na akili
 
Baada ya kufuata uapinzani bungeni kwa hila sasa upinzani upo ndani ya CCM yenyewe ambayo ni hatari zaidi kwakuwa hiyo ni sawa na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Mbowe wanamuonea siyo gaidi ugaidi upo ndani ya ccm yenyewe

Spika na PM ni waoga sana kuwajibika. Wangwkuwa ni watu makini baada ya hotuba ile wanfejiuzulunili kumpisha rais kuunda seikali yake upya kwasababu ameshawatuhumu kumhujumu kwaajili ya 2022
 
serikali ya jpm ilikuwa ngumu mtu kuweza kukosoa kwa hofu.

serikali ya ssh unajihisi upo huru kutoa maoni au kukosoa, ila ujiandae kuchambwa
Kwanini waanze kukosoa kwa samia wakati serikali zote ziliyafanya haya haya? Tena mengine ya ajabu kabisa kuwahi kutokea mbona walikuwa kimya na wasifiaji?

Hilo wala halina ubishi kwamba kosoa yao nia kuchonganisha na ina mambo mengi sana nyuma yake na si vinginevyo hivyo ni lazima kukemewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…