Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Nilichojifunza mimi hii dunia ni ya Mungu,hamuwezi kumpiga marisasi mwenzenu kama mbwa mkabaki salama mwenyezi Mungu alimponya lissu MAKUSUDI ili ashuhudie watesi wake wakihadhilika!!Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo...
Kigodoro Cha kusutanaKulikua na hotuba jana?
NimekuelewaRaisi anataka kuondoa sukuma gang na wafuasi wao. Kazi iendelee
mkopo wa covid mmepewa na waarabu?Mikopo ya nchi za kiarabu haina riba bwashee labda kama ulikuwa hujui hilo,
Kuna msemo wa wahenga unasema baba yako ni baba yako hata kama hana ndevu,ilimladi mama yako kesha kuonyesha, katiba ndio ishasema samia rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.
Mama alisema earlier “Ukinizingua Nitakuzingua” nadhan watu wengi muda huu wamesahau hii kauli ya Mama.,Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo...
Hiyo sio hoja niliyo ijibia usihamishe mjadala kwa maslahi yako hapa hatuujadili mkopo wa COVID bali nilimjibu aliye sema hakuna mkopo usio na riba akili huwa mnaacha wapi? Acheni kukurupukamkopo wa covid mmepewa na waarabu?
Gud idea but statehouse ni next level kwenye balanced thinking, guess what?something fishy with presidential advisory committee chini ya waziri wa fedha, pia waziri mlezi wa Ikulu hatoshei kwenye maturity na akili pevu.Umejaa husda tuu Mkuu, fitna fitna hivj na mambo yafananiayo na hayo. Hivi kweli ni busara kumnanga Rais kwenye public wamati nafasi ya kwenda kumuona private kama jambo haujalifurahia unao? Sasa acha awaadabishe.
Mama ana hoja kwanini huo ushauri iwe leo ndugai angemuhoji mwendakuoza kipindi kile sizani kama angepata kichambo cha maji ya betri jana.23.Raisi anataka kuamini kuwa ana uwezo mkubwa wa kimawazo bila kumsikiziliza au kushauriana na mwenza wake kuendesha nchi.
2022!Huu mwaka bora uishe tuu::
OVER:
Yule alikuwa anasifiwa na Wamachinga na Wajinga wachache.Sijui alikuwa anawaza nini yule mzee, ni Mtu mpuuzi tu ndio atamfisia yule mzee alivyokuwa anaipeleka Nchi shimoni!
we ndo umekurupuka, post uloquote inamzungumzia beberu alafu we unaleta habari za mwarabu.Hiyo sio hoja niliyo ijibia usihamishe mjadala kwa maslahi yako hapa hatuujadili mkopo wa COVID bali nilimjibu aliye sema hakuna mkopo usio na riba akili huwa mnaacha wapi? Acheni kukurupuka
We kweli kichwa kiazi sana hebu rejwa post niliyi ijibu mimi ilisemaje tusichoshanewe ndo umekurupuka, post uloquote inamzungumzia beberu alafu we unaleta habari za mwarabu.
Amechambua point kwa yale aliyoyasikia ... ila bado hajasema amejifunza niniHujaandika ulichojifunza ila umeelezea orodha ya uliyoyasikia
Huu mkopo unafaidisha watu binafsi? Nilifikiri nchi kwa ujumla ndiyo inafaidika, hivi sio unaenda kujenga miradiwapo wanaomuunga mkono,,na wanao munga mkono ni wale wanaofaidika na hizo mkopo,, bnafs nipo na ndugai.