Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

nimejifunza kuwa MNAFIKI AKIOMBA MSAMAHA KINAFIKI USIMSAMEHE usiku atakuchoma moto
Mama Rais wangu fekyelea mbali hawa wasaliti mikono yao imejaa dhambi za Mwendazake, chunga sana Sukuma Gang
km kawaida yako Mama ukipitia humu JF usikubali mwaliko wa sherehe za Bunge trh 29 kukupongeza kwa mkopo wa vyoo na Madarasa, kataa kabisa waache wakaumane wenyewe Wabunge
 
Kwa mara ya kwanza katika Tanzania

1. Rais Mwanamke

2. Rais kugombana Na Spika Wake

3. Rais Kuombwa Msamaha na Kukataa

4. Rais Kuwaza Sana Uchaguzi
 
Wakati hayo yanafanyika huyo mama yako muimba taarabu alikuwa wapi katika serikali hii?
Mfike mahali mjifunze kuipenda nchi yenu na sio watu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanya lipi la ajab ambalo kwa mwendazake halkuwepo?
Huyo Ndungai hajakuwepo nyakat hzo au huo uspika kaupata jana???
 
NILICHOJIFUNZA;
Mbali ya kumshambulia Ndugai amewaambia wananchi kwamba tozo sitapunguza hata mkilalamika na hamna cha kunifanya.
Na kwamba gharama za umeme lazima zipande na hakuna wa kunifanya chochote. Na kwa kauli hii nimejua kwanini Kalemani alifurumushwa, ni baada ya kusisitiza gharama za umeme kuwa 27,000 Tshs kote bila kujali mjini ama vijijini ...
 
Niligundua kwamba hakuna Jipya....
 
Siasa zetu na za Kenya ni tofauti......
katiba yetu inatufanya tumuone raisi ni mungu mtu tumuogope Kenya raisi anaweza kupingwa kwa namna yyte ile mfano issue ya kesi ya BBI
 
Umeandika ushuzi
 
Mimi sipingi Nchi kukopa ila ninachojiuliza ni kwamba hivi huwa tunalipa hili deni la Taifa? Ninaona kila kipindi cha Rais deni linaendelea ku skyrocket ila sijawahi kuona au kusikia trend ya ulipaji.

Kama kasi yetu ya ulipaji ni nzuri hata kama tunaendelea kukopa nilitegemea muda fulani deni lingebaki constant.

Katika kipindi cha Mkapa niliona kulikuwa na effort za kusettle deni. Sasa trend ikiendelea hivi itakuwaje huko baadae!!??
 
19. Rais anaona waziri mkuu ni mzigo, hivyo hawezi kufanya kazi nae, anatamani hata kesho aondolewe
 
Kiujumla nnamchora kama kiongozi, ambae yupo daraja la Kati, kwa ujumla ametumia bunduki kuuwa ndege, kwa nn, kwa sabab 1 tu kiongozi Bora kabisa huwa Hana maamzi ya hisia, hasa kwa nafasi ya urasi, huwa anapima, anachambua, anashauliwa na anachanganya na zake,

Kwa ujumla alikuwa kwenye high temple ambayo Kama raia no 1 alipaswa kujicontrol, hii nchi Ni ngum Sana yapo mambo unahitaji kuwa mvumilivu, Sasa hebu fikiria Nan anahesabu 2025,?? [emoji15][emoji117] Ukitima btn the lines unaona si yeyote Bali Ni yy, kwa hyo anaona wote wanaopinga wanawalakin ndan yake... Ndo hapo Sasa ule wimbo wa professor j unapoapply, aliuza Chen ya bandia nae katoa hela ya bandia[emoji15][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…