Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Tangu hizi business zimeanza sijawahi ona tajiri wa hizi mambo kama forever living n.k
 
Nilinisurika kujiunga, nilienda first presentation maeneo ya mlimani city, nikakuta wao ni partnership na man city.. Nlipotoka sku hiyo sikurudi tenaaaa.
Huwezi kuwa rafiki na adui yangu nikakusapoti. Good morning
 
[emoji23]
 
Kuna mwenzako alileta thread humu alinunulishwa saa ya mill 5 analialia hana wa kumuuzia

Na ww nunua ulete mrejesho mkuu
 
Jamani habari za jioni?
Tafadhali naombeni mawazo yenu juu ya Q-NET maana kuna jamaa zangu wa karibu wanasema ni njia mpya ya kukuza kipato.

Kama kuna wenye uelewa na uzoefu juu ya kampuni ya Q-NET naomba mnipe mwongozo na mawazo yenu.

Nawasilisha.
 
Binafsi nakushauri bora ukalime.
 
Jamani habari za jioni?
Tafadhali naombeni mawazo yenu juu ya Q-NET maana kuna jamaa zangu wa karibu wanasema ni njia mpya ya kukuza kipato.

Kama kuna wenye uelewa na uzoefu juu ya kampuni ya Q-NET naomba mnipe mwongozo na mawazo yenu.

Nawasilisha.
Ni kweli ni biashara nzuri sana kwa watu walio wavivu wa kufikiri.
 
Huko haukuzi kipato ilaa unatapeliwa na Kugeuzwa ndondocha...!! achaa huo upuuzi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh naomba nieleweshe zaidi mkuu!
Si unajua kila siku ni nafasi ya kujifunza?
 
Back
Top Bottom