henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Nasikia eti vijana wa qnet wana drive rangerover wengi ni matajiri .. pia ndani ya miaka 2 unakua umeingiza dolla 100000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Good morning
Kufika tu napewa hii salamu nikajiuliza saa hivi ni saa 9 alasiri sasa hii Good morning ya nini!!?? Baadae jamaa akanipa ufafanuzi wa hii salamu kwa nini wanaitumia mchana hadi usiku
Mkuu walikuwa na kikao pale m/city, sikuona range hata moja zaidi ya baby walker chache, wengi walikuja na daladalaNasikia eti vijana wa qnet wana drive rangerover wengi ni matajiri .. pia ndani ya miaka 2 unakua umeingiza dolla 100000
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa niliambiwa ukiingia tu baada ya miaka miwili naanza kumiliki range roverMkuu walikuwa na kikao pale m/city, sikuona range hata moja zaidi ya baby walker chache, wengi walikuja na daladala
hatari sana, mimi ndugu yangu mmoja aliniingiza mkenge niliwasikiliza hiyo siku ya kwanza kinafiki nikaambiwa nihudhurie presentation ya pili kesho yake. Nilikata mawasiliano kabisa, sitaki hata kupokea simu yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa niliambiwa ukiingia tu baada ya miaka miwili naanza kumiliki range rover
Huyo ambaye alikua ananipa darasa la ushawishi aliniambia alikua dokta tena kasomea muhimbili mi nilikua namchora tu ila hizi biashara za mitandaoni ni usumbufu mtupuWatu wa ajabu sana kuna mdada kanishawishi siku moja nikaendaa, nilipofka jinsi wanavyoshawishi tu nikajua watanipotezea muda. Ukitoa tu pesa imekula kwako , itabidi uwe mtumwa ili pesa yako irudi. Oo mi nilikua mkurugenzi nikaacha , mara nilikuaa Doctor upuuzi mtupu
Nasikia eti vijana wa qnet wana drive rangerover wengi ni matajiri .. pia ndani ya miaka 2 unakua umeingiza dolla 100000
Wanadai Asubuhi unapoamka unakua active katika kutenda mambo mbalimbali tofauti na nyakati za mchana na usiku so wao wanatumia good morning nyakati zote kuonesha kwamba ukijiunga na QNET basi wewe utakua active muda wote kutafuta hela ndo slogan yao hiyoFafanua mkuu kwann wanaitumia Good Morning muda wote?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu walikuwa na kikao pale m/city, sikuona range hata moja zaidi ya baby walker chache, wengi walikuja na daladala
Ndo hivyo mkuu, ila ukiingia mkenge wakishakupumbaza hali inaweza kuwa ngumu zaidi, lazima kuna kitu nyuma ya pazia.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe maisha yao kama sisi tu
Sio Freemason ila kama hujawahi kufanya network marketing don't even think of investing hyo PESANi Marketing network
Wanadai kuungwa kwenye hyo network yao mpk ununue bidhaa ya ujazo wa 3BV i.e kuanzia 4M ndio unakua partner
Na ww ukipata mwingine na kumuunga kwa kununua bidhaa ya ujazo huo na kuendelea unabonus ya $200
Naomba kusaidiwa kwa waliojiunga tayar
Kuna faida yoyote kweli mnayonufaikaa nayo, maana kutupia 4M kwa usawa huu wa JOHN ni parefu
Hii Salamu yao ya "GOOD MORNING" muda wote iwe Asbh, Mchana na hata Usiku ina maana gani?