The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kimbia kama ukoma. Kaka yako anataka kukuingiza chaka, huo ni utapeli kama utapeli mwingine.
Muulize hizo bidhaa za milioni 4 ni bidhaa gani, unaziuzaje? Je faida yako ni kufanya biashara au kuleta watu wajiunge, yaani core business ni nini ili upate faida, biashara au kushawishi watu wajiunge?
Je usipopata wa kujiunga faida unaipataje? Kampuni inauza bidhaa gani?
Kwa nini hadi ulete watu wengine wajiunge?
Q net ni utapeli kama utapeli mwingine. Usidanganyike mdogo wangu.