Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Waongo Hawa. Yaani wanadamganya sana
Kuna wengine wanaitwa allaince in motion..jamaa shuhuda zao ni kama vile maisha ni maraisi sana..

Kuna mmoja alitoa ushuhuda kuwa ameacha kazi nmb,alikuwa hana hata gari wala nyumba,ila baada ya mwezi mmoja wa kujiunga nao,akavipata hivyo vyote
 
hqdefault.jpg

Mtafute huyo dada facebook. Anaitwa
Veronica Kundya
Ni business tycoon wa Forever...
 
Watanzania wenzangu huyu aliyeandika hii post kandika kwa kutoelewa habari nzima ya qnet kiundani au kwa manufaa fulani ya kuponda qnet nachowashauri kabla ya kujiunga tafuta presentation za qnet ambazo ni free usikilize vizuri ulize maswali ya kutosha alafu uwamue mwenyewe usikubali kumsikiliza aliyeandikaa sio Kila anayeandika anajuwa wengine ni wapotoshji tuu
Una hisa Qnet?! Kwa hiyo wewe ndio una akili zaidi kuliko wenzio wote hawa? Hebu angalia comments zote ni negative! Kaingie wewe upigwe akili ikurudie.
 
Ni matapeli tuu hao wengi wanajifanya wamesoma na wameacha kazi nzuri ili kuendelea na Qnet biashara ni bidhaa na pesa ila sio hiyo ya ujanja ujanja kwa uwingi wao wangefanya biashara harali wengi wangenufaika kama kutoa bidhaa Nchi yeyote na kuuza kwa bei nzuri Tanzania au kokote huko ningewaelewa na si kutaka fedha kwa salamu ya Good morning au kuuza saa 5 Million ni utapeli tuu huo..
 
Nakumbuka 2008 nili itiwa ktk hii fursa nilikwenda kuwasikiliza, nilipoona mambo ya ununue bidhaa zao kwanza then huko mbele ktk muendelezo wa kupata pesa, nikaona kuna manyoka nyoka. Hawakuniona tena na niliondoka katikati kabla hawaja maliza presentation zao.
 
good morning

muda huu saa 4 usiku jumamosi

wizi mtuuuuuuuupuuu
 
After all wanaolizwa sana ni first years wa vyuoni mfano hapa dar NIT., ARDHI., DUCE UD na vinginevyo! !! obviously nilishakutana na kazia hizi za kuitwa kwenye seminar za hizp network marketing hata majuzi tuuu nilikuwa naenda ghetto ghafla kuna manzi mmoja akaniomba tukutane anielekeze kuhusu hayo ma wizi wizi tuuuu alooooooooo nilimteli kama unataka hela nitoe kum. a ......... akasema unajua Lexus SUV mm nipo kazini sijui blaaaaaaaablallaaaaaaaablaaaaaaablaaaaablaaaablaaaaaballlll haaaaah nikaondoka zangu kimya kimya toka siku hiyo sipoookei simu zale wala nini wala kujibu sms zake
 
Watanzania wenzangu huyu aliyeandika hii post kandika kwa kutoelewa habari nzima ya qnet kiundani au kwa manufaa fulani ya kuponda qnet nachowashauri kabla ya kujiunga tafuta presentation za qnet ambazo ni free usikilize vizuri ulize maswali ya kutosha alafu uwamue mwenyewe usikubali kumsikiliza aliyeandikaa sio Kila anayeandika anajuwa wengine ni wapotoshji tuu
Sasa wewe na yeye nani ndio mpotoshaji ambaye hafai kusikilizwa?
Ungekuja kuovercome yale aliyoyapotosha ndo ningekukubali na kukuona wa maana sana.
 
Watanzania wenzangu huyu aliyeandika hii post kandika kwa kutoelewa habari nzima ya qnet kiundani au kwa manufaa fulani ya kuponda qnet nachowashauri kabla ya kujiunga tafuta presentation za qnet ambazo ni free usikilize vizuri ulize maswali ya kutosha alafu uwamue mwenyewe usikubali kumsikiliza aliyeandikaa sio Kila anayeandika anajuwa wengine ni wapotoshji tuu
Washakupiga na ww unataka wenzio nao wapigwe
 
Nimealikwa na kaka yangu kujiunga na hii biashara ya mtandaoni ya Q-net, kwa maelezo niliyopata ofisini kwao ni kwamba unanunua kitu online kwenye website yao na bidhaa ya chini ni milioni nne baada ya hapo wanakuregister na unapewa account yako baada ya hapo ukileta watu wawili unaingiziwa kwenye akaunt yako dola mia nne na kadri chain inavyozidi kukua ndivyo unazidi kuingiza kiasi kikubwa zaidi ya ela, Naomba kama Kuna mtu amewahi kuifanya hii biashara au anayeielewa anipe japo kama ina ukweli au lah!
 
Back
Top Bottom