Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mimi niliwawaambia priority yangu ni gari na milion 6 zipo home kama kuna bidhaa ya gari ninunue saa hiyohiyo walitamania kinyama mara wanishauri hoteli nikawaambia sina mpango wa kusafiri maishani.
Wakaniambia ninunu package ya dawa sijui kuna mkufu ukivaa huchoki nikawaambia kazi nifanyazo sio za kutumia nguvu hivyo huwezi choka.
Nikapiga koca siku ya kwanza na ya pili moto.
 
Watanzania wenzangu huyu aliyeandika hii post kandika kwa kutoelewa habari nzima ya qnet kiundani au kwa manufaa fulani ya kuponda qnet nachowashauri kabla ya kujiunga tafuta presentation za qnet ambazo ni free usikilize vizuri ulize maswali ya kutosha alafu uwamue mwenyewe usikubali kumsikiliza aliyeandikaa sio Kila anayeandika anajuwa wengine ni wapotoshji tuu
 
Kuna aina tatu za biashara,
1. Kuna traditional business hizi ndo zilizozoeleka unaanza biashara from the scratch...mfano unajenga kiwanda unaanza kuajiri na kuweka mifumo mingine yote ya biashara kama kutafuta masoko ya bidhaa au huduma yako, matangazo nk...mfano kampuni ya cocacola au kiwanda kingine chochote...
Aina ya pili inaitwa franchise business hii nayo inaanza kama traditional lkn sasa mfano wewe ili uanze biashara yako kwny mfumo huu, unatafuta kampuni ambayo tayari imeshafanikiwa na imeshajenga jina lake linajulika... unaomba kuanzisha biashara yako kwa kutumia jina lao...watakupa masharti yao utatoa kama ni huduma au product sawasawa na quality yao ili mtu akitumia anajua ni kitu cha mtu mmoja. Mfano hotel za Sheraton, holiday inn, pepsi, cocacola na nyingine nyingi....
Aina ya tatu ni network marketing huu ni mfumo ambao ulianza miaka 1940's huko ulaya na marekani...na imekua ikisambaa kwa kasi duniani kote na makampuni mengi yamekuwa yakianzishwa na mengine kubadili mfumo toka traditional kuja kwny mfumo huu. Biashara hizi ndo wanaziita ni biashara za karne ya 21, na matajiri wakubwa km kina Bill Gates, Warren Buffet, Donald Trump na wengine wengi wamekuwa wakirecommend aina hii ya biashara hata wao wamekuwa wakisema ikitokea wamefilisika kabisa wanasema watachagua kampuni ya network marketing yenye mfumo mzuri wa malipo wafanye nayo kazi...
Mfumo huu unafanyaje kazi... kampuni inatengeneza bidhaa au inatoa huduma inatafuta watu ambao watakuwa wanazisambaza bidhaa zao...wanakupa nafasi ya kununua bidhaa kwa uchache, na unaenda kuziuza moja kwa moja wa consumers! Tofauti na traditional business ambapo bidhaa inapita kwny chain ndefu mpk inapomfikia consumer
Na ulifanyika utafiti ikagundulika binadamu huwa tuna tendency ya kuamini zaidi kitu cha kuambiwa kuliko kuona tangazo limepita kwny TV au bango barabarani. Mfano mara nyingi huwa tunaulizana umesuka wapi nywele nzuri,,, tunaelekezwa na sisi tunaenda kusuka hapo...yule msusi wala hajatangaza huduma yake, lkn kuna mtu kamtangazia na amepata mteja, na wala hajui wakati mwingine nani kamletea mteja, na hata akijua hamlipi!
Sasa namna gani ya kujua kampuni gani kama ni scam au ni legit business... inahitaji usome vzr mfumo uulewe ndo itakuwa rahisi kwako kuelewa kama biashara hii halali au kanjanja
Naweza kukuambia vichache tu namna ya kuchagua kampuni bora ya kuweza kujiunga na kufanya nayo biashara
1. Iwe na bidhaa au huduma inayoeleweka wazi.... pia viwe ni vitu ambavyo vinahitajika mara kwa mara kwa jamii....
2. Mfumo wake wa malipo lazima uwe unakufaidisha na wewe pia, maana kuna makampuni mengine unafanya kazi kubwa lkn malipo unayopata ni kidogo!! Kampuni inafaidika zaidi kuliko wewe
3. Angalia je hiyo kampuni iko imara kiasi gani?? Uongozi wake ikiwezekana tafuta historia ya mwanzilishi uzuri siku hizi kila kitu kiko vidoleni mwetu! Ni wewe labda uwe mvivu. Pia angalia ina madeni?? Maana ikiwa na madeni sana wakati wowote inaweza kufilisiwa
4. Angalia ina muda gani toka imeanzishwa... kumbuka unawekeza muda na pesa zako hapo, hivyo ni muhimu sana kujua hili. Tafiti zinaonyesha kampuni/biashara nyingi mpya huwa zinakufa mwaka mmoja mpk miaka 10 ya mwanzo. Ukiona kampuni ina umri mrefu,, unaweza kuiamini maana tayari imeshavuka kile kipindi cha changamoto

5. Kingine ni muhimu kampuni unayojiunga nayo ujue kama huwa ina utaratibu wa kutoa mafunzo na usimamizi kwa member wake?
6. Hizi biashara zinaitwa lifestyle business hivyo ni vema kujua kama kampuni unayojiunga inakupa nafasi ya kufurahia biashara na maisha kwa ujuamla??
Hizo ni baadhi tu ya tips ambazo binafsi huwa zinaniongoza
Kingine hakuna easy money duniani kote! Hata ukikaa au kusoma safari za mafanikio za watu waliofanikiwa watakwambia siri zao za mafanikio ikiwemo kufanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu, kuwa ngangari sio ukipata changamoto kidogo unaacha!! Kuwa na strong why kwann unafanya jambo unalofanya na kuhakikisha unatimiza malengo yako....kufanya jambo kwa muendelezo...kuendelea kujifunza kila siku!! Na mengine mengi mengi
Kifupi ni hayo sijui kama menielewa!! Kama kuna mahali mnahitaji ufafanuzi m
 
Jamani kumekuwa na watu kibao wakishawishi watu kuhusu hizi network marketing Kama forever, qnet na zingine ambazo sikumbuki.
Tupeni uzoefu ambao mmenufaika na pia hata walio pata hasara
Wataalam was biashara tupeni uzoefu kwenye Hili pia
Asanteni
 
Kuna mtu alinipa mwaliko. Namuheshimu Sana huyu mtu nikaona si vema kukataa. Nilipokwenda nakuta Mambo ya qnet sijui biashara mtandao kuetngeneza zaidi dola elfu nane kwa mwezi.
Nilimcharukia Sana jamaa. Ivi kweli maisha rahisi kiasi hiki.

Nina jamaa pia aliingia kwenye Bitcoin au crypto currency na wakenya. Yaani wamemtapeli Kama 40 million.
Yaani maisha bwana
Wote naowajua wali loose sana time and money, sasa hivi hawataki hata kusikia networking business wamerudi kwenye mihangaiko ya kawaida.
 
Bahati mbaya sana si rahisi kupata taarifa za walioshindwa kupata mafanikio.

Kwanza huwa hawajitokezi,na hata wakifanya hivyo hawasemi wapi walikosea na nini mtu afanye(tahadhari zipi achukue) endapo ataamua kufanya biashara hizo ili kuepusha hasara.

Kwangu mimi naona ni biashara ngumu zaidi ya zinavyopigiwa upatu.
Wale wa mwanzo ndio pekee wanaofaidika.
 
Niliitwa kwenye seminar ya Qnet huko mbezi beach, huyu mtu nilimheshimu sana lakini sikujua lengo la wito,
Nikatoka Yombo Dovya mpka mbezi beach huku nikipigwa na mvua...
Ajabu nafika pale naambiwa mambo ya Qnet, binafsi siamini pesa ya haraka haraka, sikupenda kabisa...
Sijawahi kurudi tena, pia nilimuomba asinipigie tena simu
Over
 
Back
Top Bottom