Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mbona Q-net sio biashara mpya? Na ni matapeli wa mtandaoni hao.
 
Achana nao haooo qnet

Muda ndio msemaji mzuri fuata ushauri wa member's hapo juu
 
Duuuh naomba nieleweshe zaidi mkuu!
Si unajua kila siku ni nafasi ya kujifunza?
Mkuu huo ni utapeli unatoa hela ukiahidiwa kupata pesa zaidi lakini hakuna ujinga kama huoo...!! Utaishia kugombana na watu maana utaambiwa nao uwalaghai waingie huko sasa hapo ndo pagumu maana kupata wajinga wengine kazi sana watu washajua huo utapeli.. ACHAA KABISA HUO UJINGAA hela yako bora ukafukie chini siku ukitaka kuitumia kaifukue kama huna biashara ya kuifanyiaa...
 
Asbh sana naikalia hiii kitu
 
Seriously nakutana friends wengi sana they try kuni convice niingie ktk hizo mambo zao na,wananipelekaga sana kwa semina zao, ila mm nawapaga jibu Kuwa hakuna pesa rahisi rahisi duniani yaani kwakumwambia mtu tu maneno jiunge utapata hela, wengi wamepigwa sana na walio wavivu wakufikiri ndio wanaoingizwaga mkenge kilasiku.
 
Vp mkeo
Hakuwa anaenda kulala hukohuko ofisini kwao wanakofanyia presentation
 
Nilialikwa semina yao na mtu fulani,kilichonishangaza nasalimiwa good morning wakati ni saa tisa,nikaambiwa ili nijiunge ninunue bidhaa za 3BV,sasa nikauliza hizo bidhaa za 3BV ni bei gani,nikaambiwa usiwe na wasiwasi utapata ufafanuzi kipindi cha pili,
Nilipoona mambo mengi nikaamua kuondoka,kumbe hio 3BV ndio M4?
 
hawa jamaa ni kama wehu..kuna jamaa yangu huu mwaka wa nne kila akinitafuta ananieleza huu upupu eti sijui mambo ya kutengeneza dolla elfu ngapi kwa mwezi [emoji1][emoji1]huwa nacheka sana yani
 
yani sijawahi ona mazwazwa kama haya..unaambiwa utatengeneza ela hao wanaokualika wenyewe njaa tupu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Utatakiwa ulete wenzio wawili wapigwe km ulizopgwa ww

Bizaa ujazo kuanzia 3BV
mimi niliamini kwamba wasichana ndo wanadanganyika kwa wepesi cha kushangaza eti mpaka midume ipo mwingine akawa ananikopa juzi laki nne eti atanirudishia laki saba baada ya week mbili[emoji6] nikasema kweli kuna haja ya serikali hapa kuingilia kati huu wizi watu wanapigwa mbaya kabisa
 
Mkeo milioni 5 hujui alikotoa na unaogopa kumuuliza... Mkuu umeolewa hujaoa..
 
Wadada ni rahisi kutongozwa na wanapenda shortcuts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…