Mimi nanunua bidhaa nyingi kwa ajili ya biashara unanunua mfano ktk mwezi product 50, zinakufikia 30. Tena kwa maseller walewale nimeachana nao. Bora AliExpress na AmazonPole sana, mimi nimetumia sana eBay sijawahi kupigwa,kwa uzoefu wangu mara nyingi sisi wanunuzi ndio tunakosea wakati wa ununuzi.
Pole sana,ni kweli kabisa kuna baadhi ya sellers sio waaminifu.Mimi nanunua bidhaa nyingi kwa ajili ya biashara unanunua mfano ktk mwezi product 50, zinakufikia 30. Tena kwa maseller walewale nimeachana nao. Bora AliExpress na Amazon
Pole sana mkuu. Kila kitu duniani kina pande mbili. Pengine hukuwa na taarifa za kutosha wakati unatepeliwa. Aliexpress huko ambako we umetapeliwa, mi kunaniweka mjini. Hata simu tu nnayoandikia hapa nimeitoa huko.AliExpress , eBay ndio kabisa na nimeacha kutumia.
Mkuu nadhani hujaelew au umeamua tu kugoma kuelewa. Nilitoa tu mfano ya mtu anavyoshangaa kuhusu bei ya bidhaa fulani kuwa si ya kawaida na kw saabu hizo akaamua kuita scam kampuni inayouza bidhaa hizo.Unaweza kujificha kwenye kichaka cha kutoa elimu, alafu ukakuta umeharibu zaidi katika kupendezesha mada. Ukiwa na muda, naamini unao wakutosha tafakari juu ya uwezekano wako binafsi wa kumiliki hilo duka la viatu vya 100m Tshs ili utuuzie watanzania.
haya mawazo ya ajabu sijui mnapata wapi. Bahati mbaya unakutana na jamaa waliobahatika kwenda shule, mpaka unapata hasira kuona ujinga unavyokua katika taifa kila siku.
Embu weka bayana ulipigwa na eBay au AliExpress au ulipigwa na supplier fake.AliExpress , eBay ndio kabisa na nimeacha kutumia.
Hapan mim ni mtu tu wa kawaida but nimeamua tu kushaire nachofahamu na jamii. Sio mwalimu hata.Huyo ji ni mwalimu wa QNET si unaona mwenyewe majibu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa sijakuelewa ni wapi kwenye MADA husika umejikita, hasa unapozungumzia kuhusu upigwaji.Walimu wamepigwa sana na wameachwa na umaskin wao
Nitajitahidi kutokukushambulia wewe kama wewe ingawa kwa namna unavyoandika naamini si mimi tu anayeyasoma na kuyatilia shaka maandish yako. Unadhihirisha kasoro kubwa uliyonayo kwenye swala la kufikiri na kutafakari..Mleta mada umeharibu zaidi badala ya kuifanya Qnet ieleweke na watu kuvutiwa kujiunga.
Karibu kila msukule wa Qnet ukimuuliza swali la kimantiki atakimbilia kwenye blah blah za kusema inahitaji uje ufundishwe kwanza, atakuletea vilink vya kuungaunga, atakwambia hii sio zingine nk. Yaani wamekaririshwa matango ya ajabu ajabu mnoo.
Kwa vile UZI wangu haukuwa n nia ya kuungwa mkono bali tu ni kutoa maarifa. Naamini maarifa haya yamesaidia baadh ya watu.Pamoja na mtoa mada kuwa na uwezo mkubwa wa kujibu maswali na kuwa na utulivu wa hali ya juu bado paka muda huu akuna ata mmoja anayemuunga mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goodmorning Billionaire.
Qnet ni kituo cha mauzo ya bidhaa. Kutohitaji kwako kununua bidhaa fulani kwa umasikini wako kusipelekee kukashifu bidhaa au duka la watu. Yapo magari ya 5mil USD.. (10 billions tsh). Vipi unaweza sema hizo kampuni ni scamm kisa huna pesa?
Bei ya kawaida ni ipi? Au hujui kuwa kun biatu bya milion 100 tsh duniani. W unataka bei ya elfu 30 ya Sinza mori?
Any way ipo siku nitalezea pia hii taharuki kwa mapana yake.
Hahaha leta mchele wako na wewe.
Sijagusia hili pia kwenye Uzi wangu. Wala sifahamu yupi ni yupi. Yawezekana asiwepo au akawepo but lengo langu lilikua kuelezea Qnet ni E commerce system.
But navutiwa sana na nakuja sababu yako ya kupenda kujua mafanikio ya mjasiriamali fulani ni ipi! Usije ukawa kama walio wengi huafuata mkumbo kwenye kufanya maamuzi kwa sababu ya fulani kapata sana kwenye biashara fulani ngoja na mimi nifanye... hii sio dhana sahihi.. ipo siku nitaelezea hii kasumba na athari zake.
Thanks.
Je Umesoma UZI wa MADA hii au umekuta watu wamajadili ukaamua tu na wewe ulete story yako mzee?Mimi nilkarbishw huko pasipo kuelezwa kusudi halisi. aniliambiw kuna fursa ya biashara niende nikasikilize. Nilichojifunza ni kuwa, Qnet ukienda kwao wanakukataza kutafuta habari kwa watu wengine ila kwao tu. Cha ajabu waliojiunga muda mrefu sioni wakitajirika kwa kasi ile wanayoisema kwenye semina zao, zaidi sana naona kama wanapotez matumaini kila siku hata ile mialiko haipo tena siku hizi.