Ha haaa "good morning", hii kitu ilinifanya nione ujinga wako ni opportunity kwa mwingine,
Hawa jamaa kwanza wakikuita hawakwambii unaenda kufanya nin, ila wanasisitiza time. Ukifika kule watakuletea bla bla nyingi sijui mwingine atakwambia alikuwa doctor akaacha mwingine alikuwa engineer akaacha akaifata QNET sasa utamu unakuja kwenye ada yao, et chagua product let say saa wanakuuzia 2000 USD then wewe utafute boya wengine wa wili wa kununua saa kwa milion 4
Kuna jamaa yangu nilimwambia huu upumbavu sifanyi