Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hawa majamaa wameniita wamenipiga msasa wa hatari et Nina Bahat sana, Mara good morning hata jioni....nimewauliza kiingilio sh ngap...wakanificha wanadai kesho nirud ndo watanijuza...alaf hawatak nimwambie mtu.... Kesho hawanioni....
 
Ha haaa "good morning", hii kitu ilinifanya nione ujinga wako ni opportunity kwa mwingine,
Hawa jamaa kwanza wakikuita hawakwambii unaenda kufanya nin, ila wanasisitiza time. Ukifika kule watakuletea bla bla nyingi sijui mwingine atakwambia alikuwa doctor akaacha mwingine alikuwa engineer akaacha akaifata QNET sasa utamu unakuja kwenye ada yao, et chagua product let say saa wanakuuzia 2000 USD then wewe utafute boya wengine wa wili wa kununua saa kwa milion 4

Kuna jamaa yangu nilimwambia huu upumbavu sifanyi
 
QNET INAJIUZA KUPITIA MASHOGA!!!?

Nimeishia kwenye namba 1 tu mambo yao ndo yaleyale wanayobabaishia wagonjwa wa akili pale Makumbusho mpaka wanajiunga.

Kutaja mwaka tu kampuni ilipoanzishwa unaanza kutaja mambo mengi ya mwaka huo kama vile ni sehem ya kampuni. Mfano, suala la SHOGA ELTON JOHN KUITWA "SIR" ni sehemu ya kampuni???
 
Back
Top Bottom