Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

hahahaa
 
Habari! Vipi kuna platform moja inaitwa dealno1,unajiunga bure nayo ushawahi kuisikia? Naona wengi wanajiunga wanadai inalipa kutegemea na capital uliyonayo kwenye account yako.
 
Habari! Vipi kuna platform moja inaitwa dealno1,unajiunga bure nayo ushawahi kuisikia? Naona wengi wanajiunga wanadai inalipa kutegemea na capital uliyonayo kwenye account yako.
This is very real and very legit, na hata malipo yake ni relevant na capital yako unaniona kabsa unafanya uwekezaji flan kama una mtaji mdogo bas unapata return ndogo kama una mkubwa bas ni hvo hvo
 
This is very real and very legit, na hata malipo yake ni relevant na capital yako unaniona kabsa unafanya uwekezaji flan kama una mtaji mdogo bas unapata return ndogo kama una mkubwa bas ni hvo hvo
tunaomba maelezo ya kutosha
 
This is very real and very legit, na hata malipo yake ni relevant na capital yako unaniona kabsa unafanya uwekezaji flan kama una mtaji mdogo bas unapata return ndogo kama una mkubwa bas ni hvo hvo
Ni kweli kk hata mimi nimeanza kufanya nayo kazi,na hawana masharti magumu ukitaka kutoa pesa mda unaotaka.Na pia ina usalama wa fedha kiasi fulani
 
Daah kuna mwanangu alinipeleka kwenye ofisi zao mahali flani wkanipa lugha ya ushawishi na maneno matamu nikahisi pesa inakuja kitonga kwao lakini ni vile waliponambia niweke mkwanja wangu kuinvest alafu nitafte watu wawili ndio hapo nikayeyuka.
 
Ni kweli kk hata mimi nimeanza kufanya nayo kazi,na hawana masharti magumu ukitaka kutoa pesa mda unaotaka.Na pia ina usalama wa fedha kiasi fulani
Namim pia nmejiunga na hii dealNo1 sema bado sina uhakika nayo, nmeinvest $50 mpk sahiz ndan ya siku 6 nmepata profit ya $10

Anyway, siku zote huwezi kutoboa bila kurisk chochot...Ngoja tuone upepo utaendaje
 
Ni kweli kk lazima urisk ila naamini hii inawezakuwa na kausalama kidogo na pia wanakupa $9 bure na unaongeza $2 unaanza ku invest.Mimi pia naendelea nayo acha tuone huenda ikawa na mwanga kutokana zama hizi tulizonazo za kimtandao zaidi
 
Nimekutana na hii kitu yaitwa Q net and network marketing.

Aliyenipa maelezo anapromote Sana uzuri wa hii kitu bila kutaja risk na possible limitations . Mwisho naambiwa ninunue bidha worth of 7million kusajiliwa kwenye platform . Hapo ndipo tuliposhindwana.

Mwenye uelewa au ushuhuda wa hii kitu please ili ninapofanya maamuzi niwe well informed.
 
Pita humo
 
Bora ulivyoshindwa. Ukigugo utaona jinsi ilivyofungiwa baadhi ya nchi kwa kesi za fraud. Sikushauri uingie kwenye hizo pyramid schemes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…