Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Wezi wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutana na hii kitu yaitwa Q net and network marketing.
Aliyenipa maelezo anapromote Sana uzuri wa hii kitu bila kutaja risk na possible limitations . Mwisho naambiwa ninunue bidha worth of 7million kusajiliwa kwenye platform . Hapo ndipo tuliposhindwana.
Mwenye uelewa au ushuhuda wa hii kitu please ili ninapofanya maamuzi niwe well informed.
Lipa kwanza hako kamilioni 7 ndo uje humu kutafuta details ya hii kitu. Wacha uoga, try hard trying.Nimekutana na hii kitu yaitwa Q net and network marketing.
Aliyenipa maelezo anapromote Sana uzuri wa hii kitu bila kutaja risk na possible limitations . Mwisho naambiwa ninunue bidha worth of 7million kusajiliwa kwenye platform . Hapo ndipo tuliposhindwana.
Mwenye uelewa au ushuhuda wa hii kitu please ili ninapofanya maamuzi niwe well informed.
Kabla sijajua kuna siku Dada mmoja naheshimiana naye ilinikurupusha,jiandae njoo Morocco kuna jambo muhimu 🤣🤣, faster nikatimba daah........staki kueleza mengi ila baada ya miaka 6 juzi ndiyo nimepokea Simu yake na amelizwa sana tuLipa kwanza hako kamilioni 7 ndo uje humu kutafuta details ya hii kitu. Wacha uoga, try hard trying.
Hahahaha..........bado roho Wa Mungu anakuzunguka ndo maana instict yako inakuongoza. Haya siyo mambo ya kujaribu hatakidogo. Huwezikuo umaskini kwa njia ya Qnet, sijui bitcoin. Haukuna.Kabla sijajua kuna siku Dada mmoja naheshimiana naye ilinikurupusha,jiandae njoo Morocco kuna jambo muhimu 🤣🤣, faster nikatimba daah........staki kueleza mengi ila baada ya miaka 6 juzi ndiyo nimepokea Simu yake na amelizwa sana tu
Ila qnet ni yakijinga.........uniletee saa 5m? Mkanda sijui wa suluari? ........na vitu vingine vya kipuuzi puuzi........wataibiwa wajinga hiyo hela bora uwekeze hata stationary italipa ila siyo upuuzi wa qnetHahahaha..........bado roho Wa Mungu anakuzunguka ndo maana instict yako inakuongoza. Haya siyo mambo ya kujaribu hatakidogo. Huwezikuo umaskini kwa njia ya Qnet, sijui bitcoin. Haukuna.
Mimi nikikutanaga na mtu anaitwa motivational speaker natamanigi niwe na sime pembeni; hawa ndo wapotoshaji wakubwa. Matapeli wakubwa kuhusiana na hii michezo michafu.Ila qnet ni yakijinga.........uniletee saa 5m? Mkanda sijui wa suluari? ........na vitu vingine vya kipuuzi puuzi........wataibiwa wajinga hiyo hela bora uwekeze hata stationary italipa ila siyo upuuzi wa qnet
Sure, wanazingua sana kama mtu ubongo unachanganya slowslow 🤣🤣........Mimi nikikutanaga na mtu anaitwa motivational speaker natamanigi niwe na sime pembeni; hawa ndo wapotoshaji wakubwa. Matapeli wakubwa kuhusiana na hii michezo michafu.
Mkuu hiyo kitu chatu siilifungiwaNimekutana na hii kitu yaitwa Q net and network marketing.
Aliyenipa maelezo anapromote Sana uzuri wa hii kitu bila kutaja risk na possible limitations . Mwisho naambiwa ninunue bidha worth of 7million kusajiliwa kwenye platform . Hapo ndipo tuliposhindwana.
Mwenye uelewa au ushuhuda wa hii kitu please ili ninapofanya maamuzi niwe well informed.
Hili ndio jibu kuu!Ukiona unaitwa kwenye fursa, ujue wewe ndio fursa