Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Kuna mmama namshimu saana alitak kuniingiza uko nikaenda semina cjui nikamkuta jamaa kavaa tai na nguo zimepauka eti ndo trainer nikakimbia nashangaa bi mama tunakutan kanisan nikimsalimia haitikii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alijua ashapataa bwegee mwingineeKuna mmama namshimu saana alitak kuniingiza uko nikaenda semina cjui nikamkuta jamaa kavaa tai na nguo zimepauka eti ndo trainer nikakimbia nashangaa bi mama tunakutan kanisan nikimsalimia haitikii
Watu wanaliwa kimasikhara tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alijua ashapataa bwegee mwinginee
Mm waliniacha hoi na Goodmorning saa 8 mchana pale Mikocheni unakuta vijana wanazunguka zunguka kwenye hyo jengo mikocheni B utadhan wana vitu vya maana kumbe mbwembwe ili utapeliwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yan jamaa zangu2 walipigwa wakataka namimi nipigwe hahah walikua wanasumbua hao ,,,wanakuja na rafiki yao wa qnet alikua mfanya kazi wa benk kaacha eti qnet imemlipa siunaona gari alilonunua haha nikauliza ya kwao yakowapi eti mpaka uingize watu wawili sijui Ndio hela zako zinaingia nikaona upumbavu kuna siku mmoja akaniomba nimsindikize sehemu kumbe kwenda kukutana na hao qnet wengine sikujua,kufika full good morning nilistuka wakaanza kuongea jamaa wanaongea kama chereani nilikua na wachek mwisho wa siku wakataka nitoe 4m nikawambia Sina eti kopa Hata kwa rafiki yako nikamwambia hana nikopeshe jamaa alinikata jicho hahaha nikamuuliza kama amemaliza tuondoke eti inaelekea hujaelewa vizur wakataka waanze tena nikasepa wale, matapeli sana afu wajanja wanamtumia mtu wako wakaribu sana akuingize mkenge haha! Eti unanunua saa ya mil4 hata kuishika huishik unaishia kuona kwenye nakala zao tu hahaha unaibiwa huku unajiona!
Mimi nilipelekwa kuangalia ata demu mkali nikapooze machungu ya kupotezewa muda wangu hakuna nikaondoka kinyongeMm waliniacha hoi na Goodmorning saa 8 mchana pale Mikocheni unakuta vijana wanazunguka zunguka kwenye hyo jengo mikocheni B utadhan wana vitu vya maana kumbe mbwembwe ili utapeliwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama namuona George Upina alivyokuwa ananisetMimi nilipelekwa kuangalia ata demu mkali nikapooze machungu ya kupotezewa muda wangu hakuna nikaondoka kinyonge
Umefikia wapi mzeeNamim pia nmejiunga na hii dealNo1 sema bado sina uhakika nayo, nmeinvest $50 mpk sahiz ndan ya siku 6 nmepata profit ya $10
Anyway, siku zote huwezi kutoboa bila kurisk chochot...Ngoja tuone upepo utaendaje
Hoi, una mchongo ganigood morning dear billionaire
Kwahiyo Kikombe Cha Kupigwa Tu Hukukinywea WeweGood morning...
Qnet nimewakumbuka jamani. Walivonibembeleza pale mikocheni hadi kunialika kwenye mtoko wao pale hyatt hotel...hahaa. Wale jamaa wanaongea jaman khaa.. Et ninunue saa kwa 4m. Asanteni lakini walitulipia bili ya msosi tukala huku tunapunga upepo pale juu kabisa. Hivi waliishia wapi?
Kabisa.Qnet & all other network marketing ni upumbavu wa hali ya juu na utapeli halali kabisa
Ahsante kaka af wanapokea wanakuhitaji wanatumia motivational nzuri pia wanafanya kwa kukudanganya na kukuonesha vitu vya thamani kwa watu waliofanikiwa kupitia mradiMkuu nenda youtube katafute habari zake tz hiyo kitu ni utapeli achana nayo kabisa