Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Franceska na Martha niliwajenyesha,waliambulia patupu
 
Watu wenye tamaa wakishalizwa hua wanaona aibu kuwa wameliwa na kusingizia ushirikina. Hakuna ushirikina wowote ni kitokutumia ubongo badala yake mtu anafanya mambo kwa mihemko. Hakuna ushirikina kwenye hayo makampuni watu wanacheza na akili za vilaza tu.
 
Kusema wamelogwa ni chaka tu la kufichia ujinga wao.
 
Hawana lolote zaidi ya utapeli na ile salamu yao ya 'good morning " hata kama ni mchana au jioni huwa siielewi.
Kumbe hii mambo ni muda Sana! Nmedanganywa Kuna kaz, kufka kule nakutana na hii mambo duu! And there's a number of people na wanaamini kupata. Hivi kuna faida mm nmerun away maana s jamb la kawaida kuona hadi wastafu wapo pale wanafundishwa hayo na wanaamini.... "Naamn na uchaw watumika aisee!
 
Matapeli Mimi nimeenda nikawasikiliza lakini Mimi mwamba wa Shinyanga hawajalamba hata mia yangu. Take care QNET LISHINHU.
 
Ok iyo Nyumba alikua anakaa Haruna Niyonzima na familia yake kabla hajaamia Simba alivyotoka yy ndio wakapanga Qnet..vip uliona mademu kibao wanaume wachache.sasa iv wamepungua wameanzisha ofis nyingine mikocheni
Matapeli Mimi nimewasikiliza mwanza Wana mambo ya kishirikina Mimi mzee wa upako nimeenda pale projo nyingi wanauliza Hadi kazi unayofanya, Hadi aseti ulizo nazo ukiwaambia huna Hela wanakwambia chukua mkopo, uza kiwanja, uza nyumba, aisee wasenge sana halafu wanawake wengine kuliko wanaume. Dah hii Dunia take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…