Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hahah na viatu vyao vilivyoisha upande huku wamevaa makoti yao ya suti yale ya 'chagulaga',ntakuchangia nusu ya hio pesa ukanunue saa ya 6mil ila sijui utamuuzia nani.

Next Billionea.


Hhahaha yaan km vichaa kbs!hyo 5m si bora nikusanye mchele niuze tu
 
Hivi watanzania tunakwama wapi?
Yaani mtu hajawahi kufanya hata biashara ya mtaji wa laki moja, anaenda QNET anaimbishwa maneno kibao halafu anakwenda kuzisaka popote zaidi ya 4milioni halafu anawapa QNET.
Tumerogwa na nani?
 
Habari ndugu wasomaji,

Naandika UZI huu ili tu kujaribu kushaire kile ninachokifahamu.

Maarifa haya yanatokana na uzoefu wangu na dhana kutoka katika hekima ya vitabu kadhaa ikiwemo pia kutoka kwenye mitazamo ya watu makini kwenye Tasnia husika.

Mada ni QNET as E-commerce;

Ningependa kulist ecommerce platforms maarufu mfano, EBAY, ALIBABA, AMAZON hiyo ni mifano ya ecommerce platforms ambapo mtu anaweza nunua bidhaa yeyote akiwa popote duniani. Dunia imekua kijiji bidhaa yoyote iliyopo popote inaweza nunuliwa na yeyote aliyepo popote duniani na akaipata. Platforms hizi zimeundwa kwa utaalamu mkubwa na hivyo kutoruhusu mianya yeyote ya wizi au ulaghai kati ya wanunuzi na wasambazaji. Ukiwa unatumia mifumo hii kununua bidhaa basi hatua zote za ununuzi hufanywa ndani ya hiyo mifumo hatua kwa hatua.
Hizi ecommerce platforms nyingi zilizopo zimeundwa ili kukutanisha wanunuzi na wasambazaji. Waasisi wa mifumo hii (hiyo niliyoitolea mfano) huwa hawana bidhaa yeyote mule bali bidhaa zote zilizomo mule ni za wasambazaji husika.
Lakini pia zipo E commerce platforms zingine ambazo ni kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu ambapo wanunuzi wake huitumia ili kununua bidhaa hizo.

E commerce platforms imepelekea watu kupata wateja kirahisi na katika wingi usio na kikomo lakini pia imepelekea wanunuzi kuwa na uwezo wa kupata wigo mkubwa wa uchaguzi wa bidhaa watakazo kutoka mahali popote duniani.
Wajasiriamali wa kileo wamerahisishiwa sana kazi zao kutokana na uwepo wa mifumo ya aina hii.

Qnet ni E commerce sytem ambayo ipo kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu (bidhaa za QI company), ni ofauti na platforms zingine ambazo wajasiriamali huweka bidhaa zao humo ili kupata wanunuzi, kwenye QNET huwezi ku upload bidhaa yako.

Kwa kipekee kabisa E commerce platform ya QNET, bidhaa za mule zote huwa zinauzwa na wasambazaji wao tu. Hapa inamaana kampuni ya QNET imetoa haki ya umiliki wa online shop yake kwa 100% kwa wasambazaji wake waliothibitishwa ( IR).

Hii imekaa vipi... ni hivi;
Online shop ni moja dunia nzima ambapo bidhaa hubadilika kutokana na nchi aliyopo mnunuzi.. Lakini kila mnunuzi akiwa anafuata hatua za ununuzi online basi hutakiwa kuweka special Id Number ya IR aliyempa taarifa ya bidhaa za qnet ili afanikiwe kununua la sivyo hatoweza kununua.
Na hawa IRs hulipwa commision zao kupitia online acconts zao mara tu mauzo yakikamilika.

Hivyo QNETni E commerce platform pekee ambayo wajasiriamali wanahaki ya kuuza bidhaa zilizomo dukani na ilihali si zao.
Yaani ni kwamba Mjasiriamali yeyote anaweza kumilikishwa E commerce system with full of products ambapo at any time product inauzika anakuwa akipata faida ya mauzo yale.

Kwa leo nililenga eneo hili tu..
Till next time..
Thanks.
Dah.... Sasa saa ya kawaida kabisa ndiyo iwe 5m kweli? [emoji2960]
 
Hahah pole sana mkuu,juzi nimeona mtu mmoja namuheshimu anaanza kunitumia links/mapicha picha ya oriflame huko watsap nikapiga Block chap chap.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mm...bora oriflame unaingia kwa 10000 sijui
 

QNet formerly known as QuestNet has been banned in many countries. Countries consider it illegal and a form of fraud.

In order to cut the hassle, I am going to discuss below some of the countries it has been banned from and the reasons behind this shutdown.

Please feel free to check the references for further details.
1. Afghanistan (2008)
2. Rwanda (2009)

3. Iran (2005)

4. Sri Lanka (2004)

5. USA & Canada (2008)
6. Syria (2009)

7. India (2010)


*Dates indicate the year Quest was banned/shutdown.

For the following reasons:

Afghanistan

· QuestNet worked in the country without a legal license from any governmental Ministry of Administration. ·QuestNet activities has damaging effects on the people and the country including: 1. Huge economic loss of the country. 2. The outflow of foreign currency outside the country. 3. Economic loss of families joining the business.· General export/import licenses for individuals DO NOT authorize pyramid activities.

Rwanda
· Government believes Quest Net is illegal and fraud. ·Quest Net DOES NOT follow the companies and tax laws imposed by the country.

· The National Bank of Rwanda (BNR) believes that Quest is operating under a pyramid scheme and could be involved in money laundering.

· Quest IR representatives declare that they do not need an office because it’s an e-commerce business, which contradicts the Companies Act of Rwanda that it is COMPULSORY to register the in the Registrar General’s office. It only takes 7 days to register a business.

· Income tax by individuals is not reported.

· QuestNet use of illegal commercial transactions.

· Individuals joining QuestNet destabilized the status and welfare of their families.

· The outflow of the money is distributed outside the country in uncontrolled and unsupervised ways.

· Government accused QuestNet of sending $500,000 out of the country untaxed.

Iran
· Gold Quest is described as a pyramid scheme and a form of fraud and deception.

· Gold Quest was banned in 2005.

· Gold Quest agents has been arrested in Iran at the Imam Khomeini International Airport (IKA) in 2009.

· GoldQuest has led to the outflow of half a billion dollars outside of Iran.

· Anyone who participates on those companies is legally responsible and disturbs the economy of the country.

Sri Lanka
· Sri Lanka banned pyramid schemes and network marketing to encounter Gold Quest and Quest Net.

· Pyramid schemes in Sri Lanka has led to the outflow of $50 million.

· Since many investors borrow to invest, they resulted in great debt.

· The Central Bank of Sri Lanka warned for the damage it can hit the country for the outflow of the money without any corresponding return of goods or services of the same value.

· Pyramid schemes target poor countries because they are more attracted to the promised high returns and thus so hard to resist.

USA & Canada
· Canada regulators declare that Gold Quest is both a classic Ponzi scheme and Pyramid scheme.

· Gold Quest raised US$29 million from 2940 investors.

· The Securities and Exchange Commission accused Gold-Quest of cheating US and Canadian citizens.

Syria
· QuestNet in Syria collected millions of Syrian pounds, shutdown their offices and disappeared from the country without any prior warning.

India
· The Central bureau of Crime Investigation Department (CB-CID) has filed a charge against Gold Quest.

·265,757 IRs has been cheated from all over India.

Some people will argue that Gold Quest is not the same as QuestNet and therefore I invite you to check this: Proof for “QuestNet” and “Gold Quest” belongs to same group of company…[13]

Haven’t you wondered why QNet changed its previous name Quest and its domain fromhttp://www.quest.nettohttp://www.qnet.net?

According to the above information, it might be concluded that the domain name has been changed for the following reasons:

1. It was banned under the name Quest.

2. Potential victims will search for QNet not Quest on the Internet and government directories for further information and therefore will not find complains under the name of QNet.

Case Study: Effect of Pyramid Schemes on Albania

· 2/3 of the population participated in pyramid schemes.

· The country was bankrupted.

· When the scheme collapsed, the government fell and a near civil war resulted in the death of 2,000 people.

Reasons Pyramid Schemes grew in Albania:
· People’s unfamiliarity with financial markets.

· Deficiencies of the Albania’s formal financial system.

· The government’s unclear supervision of the responsibility of handling informal markets.

We should be able to learn from the mistakes of other countries in order to avoid falling in the same pitfalls and result in similar misfortunes.

Qnet or QuestNet has badly affected the above countries.

The network is still spreading in Tanzania very fast.

My question to you is: Do you still want to join remain in Qnet or join the group?
 
Walishanipa somo lao hao...
Sema niliwashtukia ila walishamuingiza dada angu chaka nae akataka nizamiemo.

Yaani namuonea huruma ml7 yake imeliwa adi amekonda, dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Niliwahi hudhuria mahojiano yao. Basi aliyekuwa na hojiana naye akasema yeye ameacha kazi benki na kuja kufanya qnet. Nikamuuliza kuhusu Telegraph Transaction hajui hata pa kuanzia.

NB: jamaa wanasena kwa mwaka you can earning 500mil kama mambo yako yakienda poa ,but wengi hawana hata hela za kula Milo mitatu.
 
Nina jamaa yangu alikuja kunisomesha kuhusu hii Qnet,nilisikiliza kwa makini,halafu nikwambie inaonyesha hiyo Qnet ni utapeli, alichanganyikiwa baada ya kuniona nimeushtukia huo utapeli.
 
Wanachonichekeshaga watu wa hizo network marketing utawasikia eti wanakuambia "achana na kazi za kuajiriwa, miliki biashara yako sasa utajirike" mimi hua nawauliza hizo bidhaa za forever mnazalisha nyie? Yaani wao hata hawajui kama wanamtukia beberu sawa tu na sisi wengine..🤣
 
Na suti zao za kutungua pale Karume.
....Niliwahi hudhuria mahojiano yao. Basi aliyekuwa na hojiana naye akasema yeye ameacha kazi benki na kuja kufanya qnet. Nikamuuliza kuhusu Telegraph Transaction hajui hata pa kuanzia.

NB: jamaa wanasena kwa mwaka you can earning 500mil kama mambo yako yakienda poa ,but wengi hawana hata hela za kula Milo mitatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja alikuja kunipa hilo somo...yeye ananambia kuwa nikijiunga basi fasta napata mapesa kibao aiseeee...nikamuuliza kama ni ya ukweli hiyo biashara, akajibu kuwa yeye ana uzoefu nayo muda mrefu so haina shida, nikamuuliza mbona yeye sasa hana hizo pesa anazonambia? Si amefanya muda mrefu? Tukabaki tunaangaliana hapo
 
Back
Top Bottom