Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Wadau naomba kufahamishwa kwa kina au kupata ufafanuzi wa kina kidogo kuhusiana na hii kampuni ya kibiashara aitwayo Qnet, ni hilo tu na natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani eeh me ni miongoni mwa watu waliokua wanazikubali sana hizi network marketing kupitia kampuni mbalimbali, enzi hizo nilikua hunitoi katika zile motivational speeches, yaani zilikua zinanpa moto hatariiii [emoji23][emoji23]...yote haya yalikuja baada ya kutambulishwa kampuni moja ya alliance in global,yan siku ile ya seminar ningekua na hela ningejiunga alhamdulliah sikujiunga bcoz sikua na hela...!!!!

Siku zikaenda weeee wananpanga wenyewe yaan nlkua naitafuta hela kwa fujo nijiunge yan hata kukopa ila nashukuru mungu aliniepusha nilitaka kuuzaga hadi PC yangu....dah nashukur mungu..!!!

Badae nikawa introduced ktk kampuni nyingn ya smile we care hii ilkua kiingilio chake n kidogo sana hivyo nilijiunga,na ukishawishi watu ndo unavyopata commissions,hivyo nilibahatika kutoa dollars $4 tuh....[emoji23][emoji23][emoji23]!!!!nkaendelea kupambana ila nikaona kuwa ni magumashi aiseh unatumia nguvu nyingi ila sasa looh..

BAADAE NIKAKUTANA NA GOOD MORNING ZA USIKU [emoji23][emoji23][emoji23] halafu kiingilio ni mamilioni...

Nikawambia Msinitanie kwanzia Leo sina mda wa kupoteza kupitia network marketing...... Kiujumla wale wa mwanzoni ndo huona faida ya hio kampuni yaani n pyramid schemes ambazo baadae zina collapse, wale walijiunga recently ndo huwa harasa kubwa sana,nina shuhuda za rafiki zangu wengi wamepigwa hela na hawana hamu nazo tena


Tufanyeni kazi tuacheni njia za mkato hazipo poa,tutaishia kuliwa pesa kipumbavu siwashauri zipotezeeni hizo!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temana nao hao hela yako kafanye biashara nyingine tuh na faida utaipata tuachen tamaa za kupata utajiri haraka.
 
Ukiona unawaelewa Qnet bhasi jua ushaanza kuwa kichaaa wahi milembeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani dada ako ndo ashapigwaaa pesaa hivyo mamaee kwa usawa huu mtu anatoa mil 4.5 kifalaa tuu duuh pole mzeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyejiunga Qnet na akafanikiwa aje humu atueleze naye tuone kama tutashawishika!!
 
Mimi hata siwaelewi
Kutwa wanashinda kwenye nyumba ambayo ndio ofisi yao, ukiwauliza utasikia ooh sisi ndio mamilionea watarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom