Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

hawa jamaa ndiomana sir Hitler aliwasukumia moto

Mkuu usisahau moto ambao Waarabu wamesukumia Wapalestina....! Unajua Mfalme wa Jordan aliwanyia nini mwaka 1970/71....Huwezi kusikia Waarabu wanazungumza......Sina haja ya Kwenda mbali, si umeona vita hii, ni nani kaamunua kwenda kusaidia! Egypty ilifunga kabisa mipaka yake, mpaka ilipobembelezwa na na US kwa hongo nyuma yake! Unajua ni kwa nini....Hamas wana Ideology Moslem Brotherhood....Imeisumbua Misri miaka yote.....Nimekumbuka hata Kuwait iliwafukuza.....Wewe unajua kuliko Waarabu ? Wanajua wanafanya nini....
 
Hamas imeitwa kundi la kigaidi baada ya oct 7,kabla ya hapo mbona haikuwa hivyo?Inamaana hiyo article West hawakuiona?kuclaim ardhi yako sio ugaidi

Mkuu, Hamas imekuwa labed as Terrorist organization 1997......Unataka nikuletee list nzima mkuu!
 
Una hakika na unachokizungumza Mkuu.....?

Najua huwezi kukubaliana nayo.....

HAMAS–the acronym for Harakat al-Muqawama al-Islamiya (Islamic Resistance Movement)—is the largest and most capable militant group in the Palestinian territories and one of the territories’ two major political parties. HAMAS emerged in 1987 during the first Palestinian uprising, or intifada, as an outgrowth of the Muslim Brotherhood’s Palestinian branch. The group is committed to armed resistance against Israel and the creation of an Islamic Palestinian state in Israel’s place. HAMAS has been the de facto governing body in the Gaza Strip since 2007, when it ousted the Palestinian Authority from power.

OPERATING AREAS
Primarily in Gaza; also maintains a presence in the West Bank; Palestinian refugee camps in Lebanon; and key regional capitals, such as Doha, Qatar, and Cairo, Egypt.

MEMBERS
Between 20,000 and 25,000

TACTICS AND TARGETS
HAMAS uses improvised explosive devices, short- and long-range rockets and mortars, small arms, kidnapping operations, rocket-propelled grenades, man-portable air defense systems, antitank missiles, and unmanned aircraft systems in attacks against Israeli military forces and civilians, as well as against ISIS and other Salafist armed group members based in Gaza. The group also uses cyber espionage and computer network exploitation operations.

FOREIGN TERRORIST GROUP DESIGNATION
The US State Department designated HAMAS as a foreign terrorist organization in October 1997.
 
Mkuu hivi Israel ni Legal state? Kama Haipo kisheria kwa nini iko UN? Na kama haipo kisheria Kwa nini haiondolewi?
 
Israel ni nchi ya kishetani
Mnaichokoza wenyewe ikianza kuwatifua mnasema taifa la kishetani kwanini msimuombe huyo Mungu wenu ili mliteketeze hilo taifa mnaloliita la kishetani

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Unataka wapalestina wakaribishwe kwenye nchi zingine halafu hapo Palestine wamwachie nani?
 
Unataka wapalestina wakaribishwe kwenye nchi zingine halafu hapo Palestine wamwachie nani?

Nani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
 
akili ndogo , usipende kulaumu bila kufuatilia , hapo msumbiji wamekumbwa na ugaidi wakianza sheria km hizo ugaidi utaisha , je unataka israel waaze kuwa km msumbiji ? WAISLAM NI MASHETANI NA MABAGUZI UKICHEKA NAYO UTASTUKA YAMEKUCHINJA NA YANAONA NI SW TU KISA QURAN YAO INARUHUSU
 
Israel ni nchi ya kishetani
wajuwe kwanza waislam ndo uwaaamu , hao Wanaojali haki za binadam mf msumbiji , nigeria wamefikia wap na magaid , wapalestina sio wa kucheka nao
 
Nani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?

N.b kama wewe ni mwafrika unahuzunisha kwa upande ulioo amua kusimama kama kweli historia ya Afrika na mwafrika unaifahamu vyema hata kwa udogo wake
 
Israel is last remaining apartheid country in the world.

Nani kabaguliwa kwa rangi yake hapo Middle East... na wanao piga kelele mtaani from the river to the sea.....au Will weep Israel from face of the Earth.....Hiyo sio kutangaza genocide?
 
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?

N.b kama wewe ni mwafrika unahuzunisha kwa upande ulioo amua kusimama kama kweli historia ya Afrika na mwafrika unaifahamu vyema hata kwa udogo wake

Hivi kuwa mwafrika unatakiwa kusimamia upande wa Mwarabu? Yamekuwa hayo Kweli iko kazi.......Hebu nenda Kwenye Webisite ya UN.....Itakupa ramani ya 1947 ya hiyo nchi...au angalia resolution 181....
 
Naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?

N.b kama wewe ni mwafrika unahuzunisha kwa upande ulioo amua kusimama kama kweli historia ya Afrika na mwafrika unaifahamu vyema hata kwa udogo wake

Ndio maana mnashindwa kupinga Boko Haram....kwa sababu ni Waafrika wenzetu......Mbona Sudan mko kimya....? Unajua ni nini kinafanyika huko.....?
 
Ni kweli kabisa Mkuu....
 
Hivi kuwa mwafrika unatakiwa kusimamia upande wa Mwarabu? Yamekuwa hayo Kweli iko kazi.......Hebu nenda Kwenye Webisite ya UN.....Itakupa ramani ya 1947 ya hiyo nchi...au angalia resolution 181....
Sijakuomba usimame upande wa waarabu. Swali langu naomba ramani ya 1947 na sasa 2023 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…