Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Mkuu hizo ulizotaja sio za kweli hata kidogo😅😅
Mtoto njiti anahusiana vipi na masterbation..
Kwanza masterbation sio dhambi..
Akija mtu akwambie ni dhambi mwambie akuonyeshe andiko..
Ila ni kosa la kimaadili na kisaikolojia
😂😂Sijasema ni kweli nachosema ndo watu wanavyotishiana... afu mambo ya dhambi watasema onan alimwaga nje so ni sawa na Puchu. In short ni bullshit.. ila mambo ya dini hayanihusu ila mentally excessive masturbating ni jau ila physically Mara moja moja sio mbaya kwa afya
 
Onani alikuwa anafanya ila akamwaga chini (nje) na hakupiga mjegeje
 
Queen,

hii ni mitandao tu usichukulie vitu seriously.

Back in days abby chams alikuwa na kipindi cha talkwith abby chams mara nyingi walikuwa wanakutana vijana wanashare stori zao na mambo wanayopitia ungekua unasikiliza vijana wengi stori zao ungeelewa kwanini puchu ni hatari.

Ok kwenye discord kuna group nipo huwa wapo wataalamu wa masuala ya afya akili members wanashare stories wanazopitia na wengi ni vijana miaka 15-27 testimony nyingi ni masturbation wengine wakiangukia kwenye ushoga, kushindwa kufocus kwenye mambo muhimu hususani ya kujenga future zao hata social anxiety.

Masturbation ni hatari hasa kwa kijana anayeanza kujitafuta, wengi humu wanafanya tu kufurahisha watu.
Sijachukulia serious mkuu, ndiyo maana kuna emoji hapo
 
Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.

1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.

2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.

3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.

4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini

5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.

6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.

7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.

8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.

9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.

I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Mkuu umemaliza kila kitu, sitii neno
 
Mashoga wote wana laana.
 
Back
Top Bottom