SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #201
Umeprove kuwa bongo watu wengi ni wajingaUmechanganya tu ma-file kimkakati lakini ukweli uko wazi … kuna ELEMENT za Davidi kameruni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeprove kuwa bongo watu wengi ni wajingaUmechanganya tu ma-file kimkakati lakini ukweli uko wazi … kuna ELEMENT za Davidi kameruni
.wanakulipa shiling ngapi kuwapigia promo.
😂😂Sijasema ni kweli nachosema ndo watu wanavyotishiana... afu mambo ya dhambi watasema onan alimwaga nje so ni sawa na Puchu. In short ni bullshit.. ila mambo ya dini hayanihusu ila mentally excessive masturbating ni jau ila physically Mara moja moja sio mbaya kwa afyaMkuu hizo ulizotaja sio za kweli hata kidogo😅😅
Mtoto njiti anahusiana vipi na masterbation..
Kwanza masterbation sio dhambi..
Akija mtu akwambie ni dhambi mwambie akuonyeshe andiko..
Ila ni kosa la kimaadili na kisaikolojia
PowaUnapepo
Onani alikuwa anafanya ila akamwaga chini (nje) na hakupiga mjegeje😂😂Sijasema ni kweli nachosema ndo watu wanavyotishiana... afu mambo ya dhambi watasema onan alimwaga nje so ni sawa na Puchu. In short ni bullshit.. ila mambo ya dini hayanihusu ila mentally excessive masturbating ni jau ila physically Mara moja moja sio mbaya kwa afya
NAKAZIA4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
Sijachukulia serious mkuu, ndiyo maana kuna emoji hapoQueen,
hii ni mitandao tu usichukulie vitu seriously.
Back in days abby chams alikuwa na kipindi cha talkwith abby chams mara nyingi walikuwa wanakutana vijana wanashare stori zao na mambo wanayopitia ungekua unasikiliza vijana wengi stori zao ungeelewa kwanini puchu ni hatari.
Ok kwenye discord kuna group nipo huwa wapo wataalamu wa masuala ya afya akili members wanashare stories wanazopitia na wengi ni vijana miaka 15-27 testimony nyingi ni masturbation wengine wakiangukia kwenye ushoga, kushindwa kufocus kwenye mambo muhimu hususani ya kujenga future zao hata social anxiety.
Masturbation ni hatari hasa kwa kijana anayeanza kujitafuta, wengi humu wanafanya tu kufurahisha watu.
Unaruhusiwa kufikiria unachotaka...ni Uzi huru..ila ukiwa una hoja uniambieMambo mengi ume base kwenye usenge. Hivi Ni kwanini?
😂Ndo watu wa dini Wanatumia huo kama mfano cjui mboo inabidi itumike kuzalisha tu..blah blah kibao mi cjui wenyewe ndo wanajuaOnani alikuwa anafanya ila akamwaga chini (nje) na hakupiga mjegeje
Mkuu umemaliza kila kitu, sitii nenoNaomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
SawMkuu umemaliza kila kitu, sitii neno
AyaOmbeni jukwaa lenu maana sio kwa kuutetea huko
Mashoga wote wana laana.Naomba huu Uzi usifungwe na mods Wala usiunganishwe. Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa.
1. Wanaume na wanawake kidunia population ni almost equal ila wanaume wapo wengi kidogo. Wengi mnadanganyana wanawake wapo wengi sana na kujitungia ratio za uwongo.
2. Bikra ya mwanamke ni concept sio kitu cha kuwepo na kutoka. mwanamke anaweza awe bikra na asitoke damu wala kupasua hemen akifanya first time na inaweza kupasuka au kutoka damu kwa sababu zisizo za ngono.
3. Upana wa k hauna uhusiano wowote na mara alizofanya mapenzi mwanamke au kuzaa. Kuta za k ni kama za mdomo ukila unapanuka ukifunga unarudi.
4. Masturbating (Puchu) haina madhara yoyote kwa mwanaume na vyote unavyoskia ni Vitisho tu vya tamaduni na dini
5. Hamna illuminati na freemason ni kundi tu la kawaida hamna mambo ya new world order wala nini ni propaganda tu za watu wa dini ili kuaminisha watu dunia inatisha na inaisha ili waogope wajaze vikapu vya sadaka.
6. Kuna species zaidi ya 1500 za wanyama ambazo jinafanya mapenzi ya jinsia moja, so ile hoja ya sijui wanyama hawapandiani ni uwongo na ni propaganda za wenye dini na tamaduni.
7. Sio watu wote wanaofanya anal intercourse hawana marinda, again ni propaganda za wenye dini na tamaduni kutishia watu.
8. Uganga, makanisa ya kiroho, uchawi, vyote ni uwongo na utapeli wa kudanganya wajinga na maskini.
9. Dini zote duniani ni man made, hamna hata dini moja imetoka kwa muumba sijui nini zote zimeundwa kutokana na ukosaji maarifa na pia kucontrol maisha ya watu kwa manufaa ya wachache.
I think ni hayo tu, mwenye comment, additions, suggestions, criticism, lolote lile aliseme.
Bi faiza huu uzi hauhusu ushoga kama na wewe umeona la maana hapa ni ushoga umesaidia kuprove kwamba wabongo mnawaza ujinga tuMashoga wote wana laana.
Hata akili hawana pia.Mashoga wote wana laana.
Halafu mleta mada anajaribu kuaminisha watu kuwa ushoga ni sawa tu.Hata akili hawana pia.
Ng'ombe haina akili lkn hata siku moja haifanyi kinyume na maumbile.
Fanya researchHata akili hawana pia.
Ng'ombe haina akili lkn hata siku moja haifanyi kinyume na maumbile.
Sijasema hivyo... Mimi...kama Kuna sehemu nimesema iquoteHalafu mleta mada anajaribu kuaminisha watu kuwa ushoga ni sawa tu.
Pathetic.