Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?


Muhimu you are still going...mapito yapo tu
Mungu akusaidie mkuu
 
Asante, nachanganyikiwa mkuu.Sielewi though sometimes naona yatapita

Yanahusu nini kwani? Manake kama sikosei nimeshaona sehemu mara kadhaa umeandika hauko sawa
 
Nakua buzy sio kidogo nikirud home naanza kupangarua nyumba kitanda nitageuza kabat nitasogeza nitaingia jikon parangua Kila kitu napanga upya nikitoka hapo akil imechangamka
 
1. kutembea, hasa usiku
2. Kusikiliza muziki
3. Kuangalia nyota usiku huku nikibadilisha perpective, yaani naasume mimi ndo nipo kwenye nyota halafu naingalia dunia. Inanifanya nijihisi niko mbali na dunia na magumu yake
4. Kuangalia video za sayansi ya anga
 
Nakua buzy sio kidogo nikirud home naanza kupangarua nyumba kitanda nitageuza kabat nitasogeza nitaingia jikon parangua Kila kitu napanga upya nikitoka hapo akil imechangamka

Kupanga vitu upya nasikia ni namna nzuri ya kujiweka poa
Ni kama mwanzo mpya
 

Namba 3 ni mpya kwangu πŸ˜ƒ
 
Naenda ATM natoa pesa zangu zote, nazitandaza ndani naziangalia weee kisha natabasam, kesho yake nazirudisha zote bank. Maisha yanaendelea
Yaani akiba yako yote Γ§hini ni 1.2 M? Maana kutoa hela yote kwenye ATM kwa saa 24 haizidi 1.2m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…