Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
We nae ushanza maneno mengi,. Mie nimekwambia uje unipe hizo mbinu nipige hela maana kama mastress ninayo yakutosha tu🤒Ipo jirani, mpk stress ziishe ushapiga pesa ndefu..!! 😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae ushanza maneno mengi,. Mie nimekwambia uje unipe hizo mbinu nipige hela maana kama mastress ninayo yakutosha tu🤒Ipo jirani, mpk stress ziishe ushapiga pesa ndefu..!! 😹
Why why whyUtalia vibaya wewe
Nakumbuka tu hisia zilikufa na niliacha kazi kwa sababu ilikuwa ni moja ya stress kubwa na hainilipi.
Niliongea na watu wangu wa karibu so, ilipungua lakini trauma yake haijawahi kuisha kwa sababu bado nilikuwa nakutana na mengi ambayo hayakuniruhusu kuwa weak.
Asante, nachanganyikiwa mkuu.Sielewi though sometimes naona yatapitaPole mkuu
Huyo ni exceptional 😂Connection yenyewe labda 🌽 ahusike
tuliaHebu nielekeze nilipoandika sifanyi usafi hadi mtu anikere
Nakua buzy sio kidogo nikirud home naanza kupangarua nyumba kitanda nitageuza kabat nitasogeza nitaingia jikon parangua Kila kitu napanga upya nikitoka hapo akil imechangamka
1. kutembea, hasa usiku
2. Kusikiliza muziki
3. Kuangalia nyota usiku huku nikibadilisha perpective, yaani naasume mimi ndo nipo kwenye nyota halafu naingalia dunia. Inanifanya nijihisi niko mbali na dunia na magumu yake
4. Kuangalia video za sayansi ya anga
Sababu unatumia mda mwingi kufikirika namna ya kupanga vitu kwaiyo akil inahama inakua buzy na kaz unayofanyaKupanga vitu upya nasikia ni namna nzuri ya kujiweka poa
Ni kama mwanzo mpya
Yaani akiba yako yote çhini ni 1.2 M? Maana kutoa hela yote kwenye ATM kwa saa 24 haizidi 1.2m.Naenda ATM natoa pesa zangu zote, nazitandaza ndani naziangalia weee kisha natabasam, kesho yake nazirudisha zote bank. Maisha yanaendelea
Nipo imara kama chuma cha pua.. 😁😁 shukrani 🙏🏽Muhimu you are still going...mapito yapo tu
Mungu akusaidie mkuu