Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

1. Nasumbua sumbua JF kutwa ugomvi ugomvi usio na kichwa wala miguu😂😂😂

2. Nalala

NB: mnaolia mnanitamanisha jamani sijui kulia kwa hisia,yaani ninaweza kulia mara chozi halitoki au sauti haitoki sasa kulia gani huko naona aah naboreka tu bora kulala.
 
Huu ni msongo wa mawazo wa kishua.
Mi nikilia compesation ya machozi yangu ni mtu nimtoe damu😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…