Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Huwa naangalia porn hii ni addiction ya muda mrefu, ila najitahidi sana kuiepuka.
 
Kutakuwa welcome party yako mapema kesho, 😆
Sisi weekend tunaimaliza J4...Napenda kumshukuru mama Samia kwa hili

Happy New year to you babe ❤...hope ulikuwa poa ulivyopotea
🤣 noted, ili nisisahau kulog in.. Hivi kunani kwani? Maana niliona memes inasema kama kesho unaenda Kazini basi hiyo sio kazi..


Kuna kama 2 weeks zilipita, kila nikiingia sioni uzi wa kucomment, nikahamia X
 
1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂😂
Trust me hiyo njia ya pili ni njia moja kubwa sana, imewasaidia watu wengi na nina pendekeza kama kuna mtu anapitia MSONGO WA MAWAZO (Depression) sio STRESS (MAWAZO) maana hapo juu nimeona wengi wameizungumzia hasira na stress, mtu mwenye msongo wa mawazo (depression) hawezi kula, kusex wala kulala, depression ni kitu kikubwa sana, anyway,

Mwenye Depression achukue peni na karatasi na kujiandikia yeye barua na kuandika yote yanayomsibu kisha aanze kujisemea maneno mazuri mfano "kwako Lee najua unapitia ABCD, usijali hakuna kitu kinakaa milele, yatapita na utasahau, wewe ni mzuri, mwenye akili, mwenye upendo na zaidi una nguvu na jasiri sana, nakupenda sana na napenda kukuona ukipambana bila kukata tamaa, n.k"
 
Kwanini unanifokea ninaposema ukweli wangu?

Iweje kuyakiri mapungufu yako ni kosa, wakati kila mtu anayo?

Kwenye safari ya kupona punyeto, inatakiwa uwe muwazi ili dhamira isikutese.

Unajua siri zinaumiza nafsi ee?


Haujambo lakini mke?😅
Mbona unajimilikisha ghafla hivyo 😹😹

Btw pole dogo jitahidi utoke huko dogo..!!
 
Nikiwa na msongo wa mawazo kama ni jioni maybe sakumi na sambili usiku 👉nitatoka kutembea umbali mrefu ambao kikawaida lazima upande gari, bodaboda au bajaji
👉Kama stress zikinikuta asubuhi nitatafuta task nyingi mfano nyumbani kupalilia majani, kufanya usafi wa nguvu
👉Kama ni usku kuanzia sanne nitaskiliza ngoma za pole pole aidha rumba za fally ipupa au rnb oldskul za miaka ya 1990
👉Kama utakuwa ni msongo wa kiroho basi naskiza nyimbo za dini na mawaidha ya watumishi mbalimbali aidha Muslims or catholic
👉Kutongoza demu mpya kinanipa furaha ya kutest viko zangu Ata kama Nina stress zinaisha
👉Lastly kuperuzi JF basi
 
Aaah ni amapiano najikuta dancer mwenyewe basi siku inapita
 
1. naoga muda mrefu,
2. Napiga live band mwenyewe, performing songs I like.
3, nasikiliza inner songs with meaning.
4, nakula chakula Sana.
5, natazama filamu.
6, nasafiri muda au saa yoyote, hii nafanya Sana.
7, natembelea migahawa mbali mbali.
8, napigia washkaji simu, wa kike au kiume.
9, naenda kukaa na familia niliyo toka ❤️ ❤️.
10, nacheza games.
Tajiri kabisa
 
Back
Top Bottom