Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Brains...
I hate socializing with folks without brains, mtu anakuwa yupo yupo tu kama akili imepigwa kimbola...

Wabongo wengi uwezo wa kureason ni average, kama ukicount watu naowasiliana nao as friends maybe wapo 2 au 3 max...
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ“
 

As you grow up,understand your purpose and decide to persue your dreams, losing friends is a must. You find yourself not having time for them every now and then. Personal experience
1. Bestfriend alipojua undani wa mafanikio yangu alinipa mchongo hewa na kwakumuamini nikaingiza hela huko...nilikuja kushtuka nimetapeliwa na mwana.
2. Mshkaji niliyemsupport sana kipindi cha shida ndio alikuwa anamtongoza mpenzi wangu
3. Mwana wa karibu kabisa alijifanya kupitia wakati mgumu nikawa nasumport hela ya kula yeye na familia kumbe nyuma ya pazia anajenga.

Dunia ina mengi
 
Personally. Mimi siyo social. Na kuna sababu za mimi kutokuwa na marafiki ambazo ni sababu peculiar zilizoanzia udogoni... so na hata nimejaribu kuwa na marafiki lakini nlichoambulia ili u maintain urafiki lazima uwe mnafiki mnafiki ili kuwa impress hao so called marafiki ili ku "fit in". Hilo life limenishinda wadau.... Urafiki kwa maisha ya kibongobongo upo based na mtu vitu anavyofaidika na wewe , so anatafuta namna ya kuwa rafiki yako ili naye afaidike.
 
Mmmmh marafiki wengi nakosana nao shida inakuja ni kuwa kama ana dada au ndgu yoyote wa kike haijalishi hata bki tatu mimi napita tuuu hii inapelkea kuwa na marafiki wachache ila humu jf nina marafiki kama wote na kwa kuwa hatujawahi onana tuu ila tukionana nahisi urafiki utakufa.....

Nasbr siku nijuane na kina vishu mtata
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee vaa kijora na mtandio wake km shungi.
😹😹😹 Kumbuka venue ni wapi uduguu sasa kutinga kijora si ntajulikana muuza vijora kaingia..!!
 
Hiyo ndoa hata hainogi mume nyuma kupo wazi bhana..!! 😹😹

Bora wanawake kule ni sehemu sahihi hata tukiingiza dildo haina shida..!!
 
Uzi tayari kweri kweri
 
Hii mbinu ya kivita sana na imetumiwa maelfu kwa maelfu, binafsi siwezi kudinyana na mtu ninayefanya nae kazi, mtu ninayeishi nae mtaa mmoja, wala rafiki,
Na rafiki nakwambia utaonewa wivu muda wote, ukiongea na mdada mwingine tayari bifu linaanza wanaanza kutupiana vijembe..!! 😹😹😹

Mimi nawadinya wote kazini, mtaani, nje ya home, tena nawavalia na high heels πŸ‘  km husna 🀣😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…