Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Ni kweli
 
Binti sasa umekuwa mkomavu.
Upo wapi kwanza?...
 
Lawama za kua na marafiki

Rafiki anaharusi lazma uchangie na uwepo.
Rafiki anamsiba lazma uchangie na ushiriki kila sku msiban adi sku ya kuzika .
Rafiki amefanikiwa ila ww ujafanikiwa ukiongea kwa watu wanakuona una majungu.
Rafiki kafel maisha rafiki zake tunaanza raumiwa why afeli wakat nyie mko vzr.
Rafiki alikua na mpenzi wameachana baada ya miaka kadhaa unakutana na aliekua mpenzi wa rafiki yako mnakua wapenzi rafiki yako anachukia why utembee na mwanamke aliekua mpenzi wake.

Nk…

Kwa ufupi lawama, majungu, kubebeshana mizigo, na kutakiwa kuwepo ata km unaratiba zingne kisa tu ni rafiki.
 
Sijui niite ubinafsi au ubepari, au vipi,

Ila Mfumo wangu WA marafiki uko zaid kimaslahi, nna marafiki wachache sana

urafiki wa kupigiana simu za kusalimiana ovyo ovyo au kuzurula TU pamoja, aisee ULINISHINDA.

Ntakua rafki Yako endapo ntaona Kuna namna nafaidika au ntafaidika na wewe baadae.

Hii imeenda zaid Hadi kwenye undugu,

NDUGU WASIO NA FAIDA KWANGU, TUTABAKI KUKUTANA MISIBANI TU.
 
Pole sana mkuu hata mimi yalishanikuta sina hamu na marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…