Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Bora tuvute bangi tu kama [shosti] yako alivyosema.
Mi nimekushauri vizuri umeona sasa..!! 😹😹😹
Wanawake hatuharibikiwi tukichoka tunaolewa tunabeba mimba tunazaa..!!

Ila nyie mkijaribu ndo ntolee mnapoteza ubingwa mpk marinda 😹😹
 
niulize mimi nilimkopea shost kikoba ili nimsave majanga πŸ˜€πŸ˜€yoooh kumbe nilikua nampa nauli ya kwenda uarabuni hadi leo niko nalipa zangu deni kwa machungu
Mimi hapa nna maumivu hayaelezeki ndugu kaniliza wala sio shosti, nimelia kwa uchungu..!!

Nimeapa kukaa nae mbali sitaki tena ukaribu naye..!!
 
niulize mimi nilimkopea shost kikoba ili nimsave majanga πŸ˜€πŸ˜€yoooh kumbe nilikua nampa nauli ya kwenda uarabuni hadi leo niko nalipa zangu deni kwa machungu
Walimwengu wabaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukamtafutia mtu nauli ya Uarabuni 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…