Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mimi sina hela halafu wana wanamkwanja , naingia kibaruani jumatatu hadi jumapili.
 
Mi nimekushauri vizuri umeona sasa..!! 😹😹😹
Wanawake hatuharibikiwi tukichoka tunaolewa tunabeba mimba tunazaa..!!

Ila nyie mkijaribu ndo ntolee mnapoteza ubingwa mpk marinda 😹😹
Mbna hata wanaopoteza ubingwa na marinda wanaoa na wanazalisha.

Au unadhani wote wako km kina Delicious? Hata yeye yule akitaka kuzalisha au kuoa mbona fresh tyuuh, km ukuni unasimama na mbegu zinafanya kazi.

Sasa km wee cheki ile video ya wale wadada, lile li Dildo dada anagugumia kwa maumivu ya lile li plastic, bora vidampa wanaokazwa na nyama ngumu.
Ila plastic woiiiiiih, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Humu naona kila mtu yeye alikua mzuri ila wabaya ni hao waliokua rafiki zake.

Miaka kadhaa nyuma nilikua na hali mbovu sana ya kiuchumi kwa sababu kuna namna nilijichanganya nikawa na majukumu mengi halafu sina kazi yoyote so nilijiajiri kuwa afisa ubashiri, ili nipate hiyo pesa ya kuipeleka kubetia nilikua napiga sana vizinga washkaji na kuwakopa halafu nashindwa kurudisha mana mikeka ilikua haichaniki bali inaungua.

Marafiki wengi niliwapoteza kwa sababu ya kuwakopa bila kuwalipa, nikapoteza wengine kwa sababu ya vizinga.

Maisha yanaendelea, nilitafuta kibarua cha kufanya japo hakina kipato cha kueleweka lakini nilijifunza kuishi kulingana na kipato changu, ila marafiki ndo nilishapoteza na baadhi yao walikua watu poa sana.
 
Duh fanya namna
 
Hahaha hii nzuri sana , nilikua nafaki yangu mmoja wa kike tulikua tunakunywa , asubuhi tunajikuta tumelala mzungu wa nneπŸ˜…πŸ˜…
Hahaha hii nzuri sana , nilikua nafaki yangu mmoja wa kike tulikua tunakunywa , asubuhi tunajikuta tumelala mzungu wa nneπŸ˜…πŸ˜…
Unajia,sipendi umbea,sipendi kuongea sio muongeaji,ni sipendi hekaheka,,,
 
1. Interests zimebadilika( sitaki kuwa mtu nawaharibia mood).

2.Wengi wameolewa ama kuoa kwa hiyo ushkaji unapungua.Unawapa time na familia zao ila zile β€œoyah nina mdogo wangu hapa anataka kusoma CS/MD, apige au?” na β€œ niko uzalamuni, tuchekiane mkuu” bado zipo.

Ila mwisho wa siku watabaki kuwa washkaji hakuna kitakachotubalisha. Washkaji mizinguo, washkaji wanatoa madeal, washkaji wananifundisha kukaza, washkaji wanafiki ila wote ni washkaji na wataendelea kuwa wanangu. Mimi ni MSHKAJI.
 
Mhmm..!! Haipo hiyo 😹😹
Ubingwa ukivuliwa nguvu hamna tena..!!

Wale wa kina husna wanachagua leo dildo kesho ukuni wa mwanaume full brudaaanii..!! 🀣
Na aibu yao sio km ya wanaume, si umeona tushasahau..!! Wanaonekana km brat 😹
Ila men lazima wazazi walie kwa uchungu
 
Umri tu, unavyozidi kwenda najikuta mwenyewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…