Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

You are just a boy who can not handle his emotions.

Unajua kwa nini unatumia kingereza kwenye mjadala wa Kiswahili?
Kisaikolojia unajaribu kuficha Hofu na kutokujiamini kwako.

Wewe sio Weakman ingawaje huenda sifa nilizozitaja nyingi zinakuhusu.
Umefurahi?
 

Wanaume dhaifu wapo pia brother lakini ni dhaifu kwa kutokuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu pale inapohitajika kutokana na kuendekeza hisia zaidi ama la kutokuwa tayari kuona zile ndoto za maisha waliyotamani kuishi, mapenzi, future ya watoto etc vikiharibika mbele yao kwa hiyo wanapambana wakitarajia watu wao watabadilika lakini huwa kinyume..

Kwa hiyo hawa watu huwa real, selfless na wema sana lakini bahati mbaya dunia haijali hizo qualities zikiwa kwa mwanaume ndio maana huonekana ni udhaifu..


Lakini mwisho wa siku wakibadilika, hubadilika kweli kweli.
 

Mkuu nipo na usingizi kilo mia 😁

Ila tu naamini unapambania kuona ideal manhood iliyopo kichwani mwako lakini uhalisia katika maisha ya kawaida ni tofauti.

Hivyo endelea kupambana mkuu🙏🏽
 

Na wapo wanawake strong ambao wakikutana na hawa wanaume dhaifu utaona kivumbi na jasho

Baadhi ya wanaume hufikiri kuzaliwa mwanaume pekee ndio kuwa strong ilihali kuna kitu inaitwa Character.
Sasa wanakujaga kushangaa na kuumia pale wanapokutanaga na wanawake waliowazidi karibu kila kitu kuanzia uhodari, Akili na uwezo wa kufanya Maamuzi.🤓🤓
 
Mkuu nipo na usingizi kilo mia 😁

Ila tu naamini unapambania kuona ideal manhood iliyopo kichwani mwako lakini uhalisia katika maisha ya kawaida ni tofauti.

Hivyo endelea kupambana mkuu🙏🏽

🤓🤓
Haina shida Mkuu. Uwe na usiku Mwema

Wachache wataweza kubadilika. Nami sitaki wawe Wote
 
Mkuu nipo na usingizi kilo mia 😁

Ila tu naamini unapambania kuona ideal manhood iliyopo kichwani mwako lakini uhalisia katika maisha ya kawaida ni tofauti.

Hivyo endelea kupambana mkuu🙏🏽

yupo kwenye mkumbo lika huyu kijana
 

Kuna wanawake wana wamefanikiwa kimaisha na wana strong character lakini ni submissive kwa hiyo hawana shida kibongobongo na kuna wanawake ambao wana vigezo hivyo lakini sio submissive. Hawa wanahitaji wanaume haswa kuendana nao kwa sababu wao hawakuheshimu wewe kwa sababu ni mwanaume Ila wanahitaji sababu ya kukuheshimu

Na hii sio kwa character Ila kuthibitisha upo bora kiasi gani kwao, kitu ambacho hata wewe lazma utikisike
 
Lakini mkuu mashujaa kama wewe kwa kutuandikia habari za mapenzi na kujisifia tumewaona mkichezea K.O kali sana.
Dr Mwaka kwa wanaume na Diva kwa wanawake 😀 😀

Sababu naona mkuu unaandika sana habari za mwanamke hivi, mwanaume vile... HAYA MKUU
Japo kuna uhalisia kiasi fulani katika unachokiandika, japo inaweza isiwe kweli. Mfano kuna wanawake kwa sababu za kiafya kama pumu n.k na kadhalika asipokupimia anapata matatizo.
 
Halafu unasubiriwa na umwamba wako wakati umezeeka, ndio utaona rangi zote
Huku Mke na watoto wote wanaona unachelewa kufa....
 
Mkuu kwani kitu kikifanywa na wazee wa zamani ndo tiketi ya kukipa uhalali wa kuendelea kufanyika?
Alafu kwenye andiko la mleta mada hakuna sehemu alipo sema kuwa zamani mambo ya usaliti kwenye ndoa haya kuwepo bali yeye kaorodhesha sifa za wanaume dhaifu sasa sijui mambo ya mababu yameingiaje.

Kwanza tuanze na ww je mkeo alisha kuletea mtoto wa uzinzi ndani ya ndoa yako na ww ukasamehe na kumlea?kama haijakutokea huna haki yeyote ya kutetea hiyo hoja uliyo ianzisha,subiri ikutokee ili tuone mfano kutoka kwako mwenyewe.
Maana kuna watu walikuwa wanasema kuwa mwanaume anaye gombana na mwanaume mwenzie kisa mwanamke ni mjinga lakini leo hii wao ndo wako jera baada ya kuwauwa wanaume wenzao kisa wanawake.

Mkuu hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha kuishi na mtu muovu hasa mtu mwenye tabia za uzinzi na ushirikina ndani ya ndoa narudia haipo.
Kama biblia yenyewe imesema wanandoa hawatakiwi kuachana isipo kuwa uzinzi,kwenye sheria za kiislam na kiyahudi kufanya uzinzi kwenye ndoa sio unatakiwa kuachika tu bali unatakuwa kuuawa kabisa kwa kupigwa mawe.
Hii inaonesha ni jinsi gani hichi kitu ni kibaya sana hata mbele ya Mungu mwenyewe.
Haya mambo ya kuishi na mtu muovu ndani ya nyumba kwa kisingizio cha sijui watoto ni kisingizio cha kijinga sana na kimeleta madhara makubwa sana ndani ya jamii watu wanauwana kila siku kwa sababu ya mambo kama haya.

Ebu tutolee mfano wa Hamisi aliye mchoma mkewe na mkaa si matokeo ya upuuzi wa kuvumiliana eti kisa watoto sasa mwisho wake watoto wamewakosa wote mama ameenda kaburini, na baba kaenda gerezani.
 

Umetoa ufafanuzi mzuri Sana Mkuu
 
Reactions: ITR
Mwanaume dhaifu na asiye na lolote huogopa kuachana na mwanamke.

Mwanaume kamili na Halisi haogopi kuachana na mwanamke na wanawake hujua waziwazi wanapokuwa mbele ya wanaume waaina hiyo.
Watu wa Zanzibar na Pwani Talaka ni Nje nje, lakini wale wanaume hapana kwa kweli. Ni goi hoi, hohe hahe sijapata kuona.

Je hii ni kipimo kwao? Au kuna exception?
 
Uki compile zote hiz anaitwa simp
 
Shida umri!
 
Wazee wengi wenye hekima waliishi bila mayowe pale wanapofikwa na vitu kwa sababu mambo yaliishia chumbani kiasi wengi mnadhani ndoa za zamani zilikuwa perfect. HAPANA
Hiyo ni Hekima au Upumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…