Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Haya ni mambo ya mizimu na ulinzi wa eneo husika ndo huwa yanamaajabu ya hivi ambayo ukiskia utasema ni kusadikika
 
Hivi maana ya itaendelea kwenye true story huwa ni nini, kuwa hukupata muda wa kuimalizia au lazma watu tuwe tunabembeleza kuwa rudi umalizie ndio mambo yanakuwa byen

Ila ni sawa.. Ngoja tusubiri muendelezo wa huyo nyoka mwenye mkia kama wa nge
Stori ikiwa nzuri ndio kabisa huwezi kamwe kuelewa maana.😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…