Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Gaguroo!Siketa ndio nini we mjusi
Gaguroo!Siketa ndio nini we mjusi
Yani humu hekaheka haziishi 😹😹Sijui kwanini nime cheka hivi, dah
Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
View attachment 3541491
Una mjaza uwaki, eti tenaa ka nime isikia sautiYani humu hekaheka haziishi 😹😹
Sasa tufanyeje na mwenyewe anajisifia yeye mzuri humu JF 😜Una mjaza uwaki, eti tenaa ka nime isikia sauti
😂😂😂😂😂😂Treeeenaaahh 👌
Haszu mmoja tu JF nzima.
Lete vitu pambe yangu. 😹
breki ashauza huyo, acha aendelee kupara samaki na kupara miwa.Sasa tufanyeje na mwenyewe anajisifia yeye mzuri humu JF 😜
Si bora tumjaze aendelee kutupa burudani 😹😹😹
Huna kipande cha taarabu umjibu haszu ananisumbua na lyrics zake 😹😹😹😂😂😂😂😂😂
Mbona Hata bhagosha mnaimba taarabu jamani 😹😹😹breki ashauza huyo, acha aendelee kupara samaki na kupara miwa.
Afu wewe ndo unaona raha wanaume kuraruliwa nyuma eti eeee, mbona kama unasapoti ushoga na kulisapot hili gashoTreeeenaaahh 👌
Haszu mmoja tu JF nzima.
Lete vitu pambe yangu. 😹
Kuimba imba taarab inaleta wasi, kwenye group la wanaume utakosa nafasi.Mbona Hata bhagosha mnaimba taarabu jamani 😹😹😹
Nyani humu anatusuta na lyrics za Sabaha tena nyimbo nzima mistari kashika baba yule alivyo mkavu 🤣😹😹😹👌
😹😹😹Kuimba imba taarab inaleta wasi, kwenye group la wanaume utakosa nafasi.
Ndio nani huko daslam?, ume Kumbuka nini?😹😹😹
Hivi wizo kapotelea wapi?
Nimekumbuka mbali aiseee..!!
😂😂😂😂😂😂 kwa kweli nimevuka level za Taarabu uduguu.Huna kipande cha taarabu umjibu haszu ananisumbua na lyrics zake 😹😹😹
😂😂😂😂😂😂😂 nyimbo ipi? "Debe tupu"Mbona Hata bhagosha mnaimba taarabu jamani 😹😹😹
Nyani humu anatusuta na lyrics za Sabaha tena nyimbo nzima mistari kashika baba yule alivyo mkavu 🤣😹😹😹👌
Nimechekaa hadi Co poaaa!! 😂😂😂😂😂😂Mie taarabu naskiliza sana.. shida tu kuna mtizamo kuwa taarabu ni nyimbo za machoko, na machokobwqnqjinasibisha sana na taarabu..
Siku moja niko zangu bichi napiga tizi asubuhi nimeweka muziki kwenye spika nimeunga na simu.. sikuchagua playlist niliweka tu shuffle, hivyo ngoma zikawa zinakuja tofauti tofauti.
Wakaja watu kama wa3 wakawq nao wanafanya mazoezi kivyao pembeni yangu.. jezi yangu mgongoni imeandika MAKAVELI..
nilipomaaliza nikaenda kuogelea, narudi pale nakuta ngoma ya UMASKINI WANGU ndio inaimba..
Mmoja akaniuliza nawe unasikiliza taarabu, nikamjibu ndio, mie muziki wowote mzuri nasikiliza, utasikia hip hop ambao ndio muziki pendwa, reggae, bolingo, dansi ya bongo, taarabu, MNANDA etc
Yule akasema ndio tumesikiq nyimbo kadhaa za 2pac, kuna xtra music na nyingine sizijuia sikutegemea kama unasikiliza taarabu namuuliza kwanini anasema ni muziki wa kike, na jamii inaona mwanaume anaesikiliza muziki huu kama chenga kidogo.. nikacheka, nikamuelewesha tu, mie ngoma nyingi nilizo nazo ni za zamani, huwa sibagui muziki, ikiwa tu una ujumbe mzuri na pia mtamu masikioni..
Hivyo sioni tabu kusikiliza taarabu ila kwa perception ya watu, sasa hivi nasikiliza nikiwa mtaani kwangu tu..