Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Mie taarabu naskiliza sana.. shida tu kuna mtizamo kuwa taarabu ni nyimbo za machoko, na machokobwqnqjinasibisha sana na taarabu..

Siku moja niko zangu bichi napiga tizi asubuhi nimeweka muziki kwenye spika nimeunga na simu.. sikuchagua playlist niliweka tu shuffle, hivyo ngoma zikawa zinakuja tofauti tofauti.

Wakaja watu kama wa3 wakawq nao wanafanya mazoezi kivyao pembeni yangu.. jezi yangu mgongoni imeandika MAKAVELI..
nilipomaaliza nikaenda kuogelea, narudi pale nakuta ngoma ya UMASKINI WANGU ndio inaimba..
Mmoja akaniuliza nawe unasikiliza taarabu, nikamjibu ndio, mie muziki wowote mzuri nasikiliza, utasikia hip hop ambao ndio muziki pendwa, reggae, bolingo, dansi ya bongo, taarabu, MNANDA etc
Yule akasema ndio tumesikiq nyimbo kadhaa za 2pac, kuna xtra music na nyingine sizijuia sikutegemea kama unasikiliza taarabu namuuliza kwanini anasema ni muziki wa kike, na jamii inaona mwanaume anaesikiliza muziki huu kama chenga kidogo.. nikacheka, nikamuelewesha tu, mie ngoma nyingi nilizo nazo ni za zamani, huwa sibagui muziki, ikiwa tu una ujumbe mzuri na pia mtamu masikioni..
Hivyo sioni tabu kusikiliza taarabu ila kwa perception ya watu, sasa hivi nasikiliza nikiwa mtaani kwangu tu..
Asante kaveli,

Nilikuwa natafuta comment ya namna hii uzi mzima, ni kweli kuna perception mbaya kuhusu twaarab, hasa miongo ya hivi karibuni binafsi ni jambo ambalo limekuwa likinifadhaisha sana, kwa sisi watoto wa mwambao twaarab ni mziki wa tamaduni kwetu tumekuwa tukiona wazee wetu wakitoka mitoko ya twaarab kwenye kumbi mbalimbali na tumekuwa tukisikiliza sana majumbani hasa zile za asili zaidi kabla hazijaja hizi "modern" wazee wa zamani walitunga na kuimba hasaa twaarab, the likes of professor Mohamed Illyas, Mzee Issa Mohamed Matona, Marhum bi Shakila Said, Kidude bint Baraka, Bi Mwanahawa Ally, Sabah Salum n.k

Shida ilianzia baada ya hawa mafedhuli wakina aunt fulani kuanza kujazana huko hii ikafanya ionekane wote mnaokwenda huko ni mafedhuli ni sababu inayoeleweka of course lakini haifanyi binafsi yangu kuacha kusikiliza twaarab, kuna nyakati nikikaa zangu nyumbani naburudika vizuri tu twaarab, mnanda n.k sababu ndio miziki yetu hii, mziki ukiwa mzuri huwa sibagui.

Speaking of Umasikini wangu huo ni my favourite of all time kutoka kwa bi Mwanahawa.
 
Mnajitokeza m1 m1 wababa wa Taarabu., wazee wa mwambao.
😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 nyimbo ipi? "Debe tupu"
Woiiiiiiih
Hiyo hiyo na nyingine hiyo anaipenda “Domo la udaku” alinipigia kijembe eti jamani 😹😹😹

Humu kuna wazee wa hovyo sana 😹
 
Asante kaveli,

Nilikuwa natafuta comment ya namna hii uzi mzima, ni kweli kuna perception mbaya kuhusu twaarab, hasa miongo ya hivi karibuni binafsi ni jambo ambalo limekuwa likinifadhaisha sana, kwa sisi watoto wa mwambao twaarab ni mziki wa tamaduni kwetu tumekuwa tukiona wazee wetu wakitoka mitoko ya twaarab kwenye kumbi mbalimbali na tumekuwa tukisikiliza sana majumbani hasa zile za asili zaidi kabla hazijaja hizi "modern" wazee wa zamani walitunga na kuimba hasaa twaarab, the likes of professor Mohamed Illyas, Mzee Issa Mohamed Matona, Marhum bi Shakila Said, Kidude bint Baraka, Bi Mwanahawa Ally, Sabah Salum n.k

Shida ilianzia baada ya hawa mafedhuli wakina aunt fulani kuanza kujazana huko hii ikafanya ionekane wote mnaokwenda huko ni mafedhuli ni sababu inayoeleweka of course lakini haifanyi binafsi yangu kuacha kusikiliza twaarab, kuna nyakati nikikaa zangu nyumbani naburudika vizuri tu twaarab, mnanda n.k sababu ndio miziki yetu hii, mziki ukiwa mzuri huwa sibagui.

Speaking of Umasikini wangu huo ni my favourite of all time kutoka kwa bi Mwanahawa.
Kidhati hao ndio wanaharibu image nzima ya taarabu, ila ni muziki fulani ukisikiliza hauchoshi na unaburudisha, huyu mwanahawa ally nahisi kwangu ndio the best, pia kuna hao kina sabah.. marehemu matona, huyu ally nani aliweka na ndevu zake hina.

Kidhati mie nasikiliza na siku nikiwa na hamu na muziki fulani, kama ni taarabu nitapiga playlist ya taarabu tu.. ikiwa nimemiss hip hop basi naishi humo, ikiwa reggae utazisikia, ikiwa MNANDA, ama bongofleva ya zamani.
Kuna muda naamua tu kumsikiliza msanii fulani, kama ni fid basi ni ngoma za fid tu , kama bob ni bob, kama ni mzee yusufu basi ni yeye, ikiwa koffi basi ni koffie mwanzo mwisho, na usingizi unaweza kunipitia.
Na siku za hivi karibuni nina mambo yananizonga, basi usingizi hauji mpaka nisikilize muziki..
Nikiweka muziki ndio hapo taratiibu usingizi unakuja,
Hivyo muziki mzuri kwangu ni kitu muhimu sana haijalishi aina ya muziki
 
I think we have the same way kwenye kusikiliza music, i do exactly as you mention, ukiwa na sikio zuri la mziki na ukaupenda genres don't matter. Jamaa zangu hunishangaa playlist zangu siku nikicharuka na Hip hop naeza nikaanza kusikiliza zama za kina N.W.A & Eazy E, Warren G, BIG small, Luniz, The Game mpaka hawa wasasa, alafu siku unanisikia nipo na ngoma za Mfaume mfaume, unakuja siku unakuta namsikiliza Adele unabaki unashangaa tu, nadhani kwangu mziki unaenda na moods zaidi.

By the way pole na changamoto zozote unazopitia mkuu.
Peace✌️
 
Kweli tunafanana.
Ahsante mkuu.
One love 🤛
 
Back
Top Bottom