Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Unasikiliza nini, kwani taarabu ina level ipi, mbona mie huwa nasikiliza na fresh tu
😂😂😂😂😂 sasa Maka ukisikiliza wee Taarabu ndo na mie nisikilize??
Woiiiiiih!!! Lol
 
Hiyo hiyo na nyingine hiyo anaipenda “Domo la udaku” alinipigia kijembe eti jamani 😹😹😹

Humu kuna wazee wa hovyo sana 😹
😂😂😂😂😂😂😂
Mie km Taarabu, nasikiliza za Sabaha Salumu.
Hasa hii, "Niacheni Nijivune" yaani nahisi aliimba kwa ajiri yangu.

Nikiwa na Ba tamu, ndo napendaga kuweka hiyo.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
walioharibu taarabu ni hawa kina aunt muuh na wenziwe na kukata sare juu kitu ambacho mwanaume ukionekana unasikiza taarabu basi ujue watakujaji vibaya
Sasa watu wasikate sare za vijora na kusaula na kusasambua kisa kuna wanaume wanasikiliza taarabu? Watajijuu.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Midume ya pwani ndio husikiliza huu utopolo wa like kike uliojaa maneno na vijembe vya kike kiasi kwamba na wao hubadilika kitabia na kuwa wa kike kike. Ukimwona dume anasikiliza haya mamiziki ya kiarabu hakuna ushahidi mwingine kuwa amesha left group
Chai
 
Kuna kale kataarabu nakapenda

"Naringa na maokoto yangu sitegemei pesa ya bwana 😄😄😄😄
 
😂😂😂😂😂 sasa Maka ukisikiliza wee Taarabu ndo na mie nisikilize??
Woiiiiiih!!! Lol
Oya wee!! Woiihh ndio nini utachezea mbata 😂😂😂

Sijakwambia lazima nawe usikilize, ila umesema umetoka level hiyo, ndio nikataka kujua level ya taarabu, ungesema sio muziki uupendao ningekuelewa, maana muziki sio kwa level ila ni upenzi.. nielewavyo mimi.. mie naweza penda mchiriku mwingine reggae, mwingine rock, wewe country, mwingine rnb etc.. sio kwa level bali ni upenzi tu
 
😂😂😂😂😂😂😂
Mie km Taarabu, nasikiliza za Sabaha Salumu.
Hasa hii, "Niacheni Nijivune" yaani nahisi aliimba kwa ajiri yangu.

Nikiwa na Ba tamu, ndo napendaga kuweka hiyo.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wacha weeh..!! 😹😹😹
Kwahiyo unamkatikia ba tamu huku unacheza taarabu au inakuwaje hapo?
 
Sasa watu wasikate sare za vijora na kusaula na kusasambua kisa kuna wanaume wanasikiliza taarabu? Watajijuu.
😂😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Kwanza hiyo miknd inayotumika yao? Halafu humu JF wengi wanojifanya wanapinga ushoga ndo mashoga wenyewe wewe wachunguze utajua..!!

Yani unalikuta baba zima linafoka then pembeni lenyewe ndo liharibifu UNAFKI tu umewajaa..!! K mae zao 😹😹
 
Hivi kumbe umesanukaaa?? 😂😂😂😂😂
Wengi humu ni walaji na waliwa, tena hawa unaowaona wanabwata mnoo, ni wanajistukiaaaa.
Mie nawachoraa tyuuu, kuna member humu anajifanya lijari, ili hali ni mchicha mwiba tena kaliwa na jamaa humu humu, na ushahidi ninao.

Ila linavobwata kuhusu ushoga, kumbe halijikubali na linajistukiaa.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom