Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Oya wee!! Woiihh ndio nini utachezea mbata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijakwambia lazima nawe usikilize, ila umesema umetoka level hiyo, ndio nikataka kujua level ya taarabu, ungesema sio muziki uupendao ningekuelewa, maana muziki sio kwa level ila ni upenzi.. nielewavyo mimi.. mie naweza penda mchiriku mwingine reggae, mwingine rock, wewe country, mwingine rnb etc.. sio kwa level bali ni upenzi tu
Sawaa Maka, nimekuelewaa, nisamehe buree.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha weeh..!! 😹😹😹
Kwahiyo unamkatikia ba tamu huku unacheza taarabu au inakuwaje hapo?
Uduguuu mbona uko spidii sanaa?? Nikivaa dela langu, nafunga mtandio kiunoni, naanza kusasambua na kusaulaaa.
Ila nayoyafanyaga ndani, wangekua wananiona watu, wallah sijui ningeweka wapi sura yangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna siku nilikua najifunza misamba ya mama shea, nusu nivunje ugoko.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui ningeeleza nn kwa Watu.
Uwiiiiii
 
Hivi kumbe umesanukaaa?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengi humu ni walaji na waliwa, tena hawa unaowaona wanabwata mnoo, ni wanajistukiaaaa.
Mie nawachoraa tyuuu, kuna member humu anajifanya lijari, ili hali ni mchicha mwiba tena kaliwa na jamaa humu humu, na ushahidi ninao.

Ila linavobwata kuhusu ushoga, kumbe halijikubali na linajistukiaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza wanaume ndio wanaotuharibia watoto Pumbavu zao..!!

Wengine wanasema mashoga halafu majumbani mwao wanawasodoma wake zao. Sasa hapo wanakemea nini??

Mimi nawaona kama wanafki na wanajificha kwenye kichaka cha kunyooshea wengine vidole huku wao matendo yao ya hovyo..!!

Mtaani wanaisifia Fanta vichochoroni wanakunywa Coca..!!
 
Wapi ilipo Taarabu?
Ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishaihusudu
Kwa ajili ya malumbano’ mwishoni ikafa kibudu

Afande Sele... Prof. Jay.. Ulamaa Solo Thang.
 
Kwanza wanaume ndio wanaotuharibia watoto Pumbavu zao..!!

Wengine wanasema mashoga halafu majumbani mwao wanawasodoma wake zao. Sasa hapo wanakemea nini??

Mimi nawaona kama wanafki na wanajificha kwenye kichaka cha kunyooshea wengine vidole huku wao matendo yao ya hovyo..!!

Mtaani wanaisifia Fanta vichochoroni wanakunywa Coca..!!
Hapo sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom