Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Asante Kwa Maoni yakoNimeshavuka kusikiliza Taarabu, siku hizi nasikiliza Blues Music.
π₯π₯π₯
Unasikiliza nini, kwani taarabu ina level ipi, mbona mie huwa nasikiliza na fresh tuππππππ kwa kweli nimevuka level za Taarabu uduguu.
Woiiiiiih
πππππ sasa Maka ukisikiliza wee Taarabu ndo na mie nisikilize??Unasikiliza nini, kwani taarabu ina level ipi, mbona mie huwa nasikiliza na fresh tu
πππππAsante Kwa Maoni yako
Umecharuka, Lol πππππ
πππππππHiyo hiyo na nyingine hiyo anaipenda βDomo la udakuβ alinipigia kijembe eti jamani πΉπΉπΉ
Humu kuna wazee wa hovyo sana πΉ
Sasa watu wasikate sare za vijora na kusaula na kusasambua kisa kuna wanaume wanasikiliza taarabu? Watajijuu.walioharibu taarabu ni hawa kina aunt muuh na wenziwe na kukata sare juu kitu ambacho mwanaume ukionekana unasikiza taarabu basi ujue watakujaji vibaya
Bibie Fatma Nyoro huyo .Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
View attachment 3541491
Wala haiuhusiani, mimi napenda taarabu hatari.We watakua wanakufyega sio bure
Wala haikufanyi uonekane mwanaume rijali.Bora mama ako angepokea hilo bao lililokuleta duniani kwa njia ya mkungu akakujambe chooni huko khumamake
ChaiMidume ya pwani ndio husikiliza huu utopolo wa like kike uliojaa maneno na vijembe vya kike kiasi kwamba na wao hubadilika kitabia na kuwa wa kike kike. Ukimwona dume anasikiliza haya mamiziki ya kiarabu hakuna ushahidi mwingine kuwa amesha left group
Oya wee!! Woiihh ndio nini utachezea mbata ππππππππ sasa Maka ukisikiliza wee Taarabu ndo na mie nisikilize??
Woiiiiiih!!! Lol
Wacha weeh..!! πΉπΉπΉπππππππ
Mie km Taarabu, nasikiliza za Sabaha Salumu.
Hasa hii, "Niacheni Nijivune" yaani nahisi aliimba kwa ajiri yangu.
Nikiwa na Ba tamu, ndo napendaga kuweka hiyo.
ππππππππ
πΉπΉπΉ Kwanza hiyo miknd inayotumika yao? Halafu humu JF wengi wanojifanya wanapinga ushoga ndo mashoga wenyewe wewe wachunguze utajua..!!Sasa watu wasikate sare za vijora na kusaula na kusasambua kisa kuna wanaume wanasikiliza taarabu? Watajijuu.
πππππππ
Hivi kumbe umesanukaaa?? ππππππΉπΉπΉ Kwanza hiyo miknd inayotumika yao? Halafu humu JF wengi wanojifanya wanapinga ushoga ndo mashoga wenyewe wewe wachunguze utajua..!!
Yani unalikuta baba zima linafoka then pembeni lenyewe ndo liharibifu UNAFKI tu umewajaa..!! K mae zao πΉπΉ