Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

Sawaa Maka, nimekuelewaa, nisamehe buree.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha weeh..!! 😹😹😹
Kwahiyo unamkatikia ba tamu huku unacheza taarabu au inakuwaje hapo?
Uduguuu mbona uko spidii sanaa?? Nikivaa dela langu, nafunga mtandio kiunoni, naanza kusasambua na kusaulaaa.
Ila nayoyafanyaga ndani, wangekua wananiona watu, wallah sijui ningeweka wapi sura yangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna siku nilikua najifunza misamba ya mama shea, nusu nivunje ugoko.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui ningeeleza nn kwa Watu.
Uwiiiiii
 
Kwanza wanaume ndio wanaotuharibia watoto Pumbavu zao..!!

Wengine wanasema mashoga halafu majumbani mwao wanawasodoma wake zao. Sasa hapo wanakemea nini??

Mimi nawaona kama wanafki na wanajificha kwenye kichaka cha kunyooshea wengine vidole huku wao matendo yao ya hovyo..!!

Mtaani wanaisifia Fanta vichochoroni wanakunywa Coca..!!
 
Wapi ilipo Taarabu?
Ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishaihusudu
Kwa ajili ya malumbano’ mwishoni ikafa kibudu

Afande Sele... Prof. Jay.. Ulamaa Solo Thang.
 
Hapo sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…