Aisee! Its not easyhiyo ndiyo ndo sasa, unataka ukae bila minuno😃,, hulka ya kike minuno lazima,, hapa nlipo ameshanuna kwa nini nimenyoa (zivu) 👈 kinyume chake,, na wakati yeye huninyoa😃,,
sasa hapo we umeamua kumsaidia baada ya kuona tight,
kwa hiyo muhimu sisi wanaume kutokununa, tuendelee kuwabembeleza vpenz vyetu.
Kipato hakielewekiSawa, ni vyema ukaanza kujipa uzoefu mdau.
huyo mambo cindy wa Mopao🤣😂😂😂
Naona hapa umenisema, juzi tumetoka kupata dinner vizuri tu and we were so happy, tupo njiani tunarudi, kuna swali nikauliza kuhusu 'past' yake, nikajibiwa jibu ambalo sikutegemea, nikanuna..!!
sasa baadaye nakaa nafikiria kwanini hata niliuliza ule ujinga ukaharibu dinner date yetu, sikuwa na majibu..
'kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umevurugwa, na kukuvuruga ukiwa umetulia'..! Ahsante..!
Uwongo mwingi ndio mwokoz wetu,,Aisee! Its not easy
Amani ya ndoa inavurugwa na shetani,kwani ndoa kwake ni shambulizi maana anajua kuwa mkiamua kumshika Mungu hata uzao wenu wote utamtii Mungu,kwahiyo mjue sana Mungu ili uwe na hiyo amani,kinyume cha hapo tegemea mapichapicha tu....Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
Mkuu hata maaskofu na mitume wananuniwa!Amani ya ndoa inavurugwa na shetani,kwani ndoa kwake ni shambulizi maana anajua kuwa mkiamua kumshika Mungu hata uzao wenu wote utamtii Mungu,kwahiyo mjue sana Mungu ili uwe na hiyo amani,kinyume cha hapo tegemea mapichapicha tu....
Asikudanganye mtu!Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
Ingia madarasa ya ukuaji kiroho uiondoe hio hali uwe na balanceMimi nakuwa km kichaa, naweza kutafuta ugomvi wa kulazimisha..!! 😹😹
Duh!Asikudanganye mtu!
Amani kwenye ndoa huwepo wakati Mwanamke ni maskini anaemtegemea mwanamme Kwa Kila kitu!!
Mwanamke akisha inuliwa kiuchumi huota ndevu mbili na Clitoris hurefuka na kuwa uume na yeye hutaka kumiliki badala ya kumilikiwa!!
Nimeliona chini ya jua!!
Asikudanganye mtu!
Unawahi kuusoma upepo mapema unaukwepaNi kweli, ila kuna wakati utavurugwa tu.
mkuu hiyo ni kawaida, ibilisi anaiwinda sana hiyo amani ili kuwe na mvurugano, cha msingi ni kujua nini huwa kinaondoa hiyo amani hapo kwako na jaribu kushughulikia na kuziba mwanya na matobo yoteAsikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha.
Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana.
Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale.
Ndugu zangu nimejichunguza sana, kipindi nina amani na mke wangu! Hata kuchelewa nyumbani haipo kama yupo. Najikuta natamani kumaliza mambo yangu haraka as atafanya whatever I need.
Tukiwa na amani atanifanyia chochote anachojua kitanifurahisha, na ninaamini iko hivyo kwa wanandoa wengi.
Changamoto inakuja kwenye kuhold on hiyo Amani, sisi ikitembea sana ni wiki tatu yaani hapo imedumu kweli kweli. Nimalize wiki tatu mfululizo! Haipo hiyo, sijui kwanini. Kitatokea tu kitu.
Yaani kuna wakati tunapatana kinoma, ile sana hadi nasema hatuwezi gombana sisi, halafu gafla tu kinatokea kitu. Napigwa mnuno!
Na itategemea situation unaweza kudumu hata siku mbili, mnasemeshana lakini ile kawaida tu, mambo mengine anafanya kwasababu ni wajibu wake tu.
Niliwahi kujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza kusoma hisia zake kwa umakini, lakini waapi.
Hii Amani ya kwenye ndoa kwako inadumu kwa muda gani?
kumaintain ni zoez endelevu,, hata wao wanataman aman lakin sasa tumeumbwa kusahau, kwa mfano unataka uchek footbal yeye anataka tamthilia hapo unafanyaje😃, na hyo siku umeimiss mbuthuthu,,Umepita mule mule!! Ukiweza kumaintain hili amani itakuwepo kwa kipindi kirefu.
Nenokujitahidi na kuwa makini ili ugomvi wowote usitokee walau ndani ya mwezi mmoja nikajifunza
Kiroho vurugu ugomvi na mivurugano ndio chakula cha shetani wao ndio uchochea haya.mkuu hiyo ni kawaida, ibilisi anaiwinda sana hiyo amani ili kuwe na mvurugano, cha msingi ni kujua nini huwa kinaondoa hiyo amani hapo kwako na jaribu kushughulikia na kuziba mwanya na matobo yote