Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

Hata leo kama ingekua inawezekana ili an anune vzur had apasuke ilifika mda nikamwambia kama ndoiv bas tutengane hata kwa mda aise ndo nilikosea kabsa yaan
😃😃inawezekana anakupenda, anakuwa na wasiwasi mwingi.
 
Wengine wana akili sana Bro.
Ila Sayansi(not proved) inasema ukiona hakufuatilii, ongeza umakini.
Kuna mwenzio.
Kote huko nilishajiridhisha! Na hicho ndicho kinatuponza wanaume! Kila akitoka wewe unafuatilia kila anapobandua mguu na wewe unaweka wa kwako. Kosa akianza yeye kukufuatilia hapo lazima amani ikosekane!
 
😃😃inawezekana anakupenda, anakuwa na wasiwasi mwingi.
Acha tu ndgu yangu kama juzi tumekaa sasa akawa anaangalia ile story ya Mwijaku kwa Mange aise asiseme " wakina mwijaku wapo wengi wengine tunalala nao vyumban" alinikera sana aisee sikusema kitu ila nilienda kulala mda huohuo na ilikua saa mbili usiku
 
Aisee! Sema unaupiga mwingi kwa kuwa patient.
Check tu akizidi umwambie, usije ukamdhuru ikawa tabu tena
 
Kote huko nilishajiridhisha! Na hicho ndicho kinatuponza wanaume! Kila akitoka wewe anafuatilia kala anapobandua mguu na wewe unaweka wa kwako. Kosa akianza yeye kukufuatilia hapo lazima amani ikosekane!
Na wakitufuatilia lazima watushike.
Akili za wanawake wanazotumia kwenye mahusiano, wangezihamishia kwenye maendeleo tungefika mbali sana
 
Shida mkiwa wote mnajimwambafai kila mtu ajifanye haoni haja ya kujishusha.
 
ni nadharia kuwa wakati wa maisha ya ndoa, kila kitu kitabaki constant kama mnavyotaka, ndoa ni rough journey, inahitaji busara ili kufurahia ndoa
 
ni nadharia kuwa wakati wa maisha ya ndoa, kila kitu kitabaki constant kama mnavyotaka, ndoa ni rough journey, inahitaji busara ili kufurahia ndoa
Ndicho tunachozungumza
 
Hii mada imepita tukiwa kwenye mnuno ambao haujawahi kutokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…