Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

Uwongo mwingi ndio mwokoz wetu,,
kuwasifia mda wote hata kama hajapendeza, kusifia chakula hata kama si kitamu, umbea wowote akikuletea inabidi usapoti
Hapo kwenye umbea ndio penyewe,.

Yaani me nitunze kitu siku nzima simwambii mtu halafu nije kukusimulia usisapoti looh!😄😄
 
Amani kwenye ndoa hujengwa na:
1.mapenzi ya dhati baina ya wana ndoa
2.kila mmoja kumjali mwenzie
3.kila mmoja kuwa mkweli kwa mwenzie
4.Kuongea panapotokea hitilafu baina ya wana ndoa
5.Kuvumiliana
6.Kutotoa siri zenu za ndani
 
Amani kwenye ndoa hujengwa na:
1.mapenzi ya dhati baina ya wana ndoa
2.kila mmoja kumjali mwenzie
3.kila mmoja kuwa mkweli kwa mwenzie
4.Kuongea panapotokea hitilafu baina ya wana ndoa
5.Kuvumiliana
6.Kutotoa siri zenu za ndani
Sawa lakini hivyo havizuii kununiana.
 
amani ya ndoa ni kitendawili, hakuna specific remedy , ni circumstantial i,e hakuna universal remedy ya kui-manage ndoa
 
kwahiyo amani inaisha chap kama data za airtel unaunga ya mwezi mara ndani ya wiki unaambiwa chek your internet conection hadi hasira
 
Iyo amani ataipata kama ataacha kutumia simu mda wote kwakifup aachane na iyo kazi ya uwakala wa 1x bet
 
Iyo amani ataipata kama ataacha kutumia simu mda wote kwakifup aachane na iyo kazi ya uwakala wa 1x bet
Jamani, si ndiyo inaleta mkate mezani?
 
Ndoa yangu na padre ina amani kubwa.

Fikiria tu Padre ananiita baby, wewe kuweza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…