Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

Kwanza, wewe ulienda kufuata nini huko kama sio mteja wao
Pili, umesema ifikapo saa 2 jioni unaogopa kupita ni mwendo wa kutembea uchi. Kwani mtu akitembea uchi anakuzuiaje wewe kupita? Kwani anakuwa amekufunga miguu yako?
Tatu umesema hii mida wanawake huanza biashara zao. Hujasema biashara zipi?
 
hata wasio wenyeji wata kuelewa kwa kufika.
Umempa nguvu Shetani kwa kua umechangia kwa kiasi flan kutangaza biashara yake.
 
Mkipewa uhuru WA kuongea mnaongea upuuzi mfyuuuu
 
Kauka wewe kaza koromeo hio nyambafu
 
Chalamila si alisema anatokomeza hiyo ishu? Ni Mpuuzi sana sijui hata kama anajua maana ya kutokomeza?
Utokomeze ajira asee 😂, wanaume ni kubeti wanawake ni kwa macho makuku.

Tukutane kwenye kulipa VAT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…