Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hiyo 90M kwa mwaka ni takribani USD 38500 si pesa ya kutisha kwa kustarehe kwa watoto 2 + mama yao + beki tatu kwa wenye pesa zao.Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa ?
Sisi tusio nazo ndio tunaona pesa nyingi.
Tukaze matako kutafuta pesa nasi mwaka mmoja tuwe na matumizi ya luxury zaidi ya 90M kwa mwaka.