kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Umasikini mzigo usikute bahasha wake wasasa ndo anashinikiza ujinga huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa?
Infact yeye hana mchango wowote. Hao watoto ni kitega uchumi chake. Matumizi million 15 kwa mwezi jamani. Hao watoto wanakula dhahabu?
Mboga saba ya wapi watoto wawili watumie million 15 kwa mwezi? Hata Kama wanakula ng'ombe mzima kwa siku haiwezi fika iyo helaHehehehe hao watoto hawajaishi kimaskini kumbuka mzee alikuwa bilionea unategemea nin watoto mboga saba hao
Kila nikisoma izo figure najikuta nasema "elfu 30, elfu 90, elfu 15,..." Kumbe ni Millioni.
Uzuri wa wachaaga kelele kibao, mnabaguana mpaka wenyewe kwa wenyeweHuyu sister anaweza akauuwa mie navyojua the real chagga ambaye Ni mmachame wengine Kama warombo n.k Ni vyaasaka tu Ila real chagga ambaye alianza kuuona ulaya Ni mmachame.
Ila Ni kweli kwa wahindi hatusikii hii makitu ama waarabu.
Binafsi napendekeza kuoana karibukaribu jamani binafsi nilioa koo ambayo iko karibu yaani history yao inajulikana na sio kisa binti akanivutia kwa nje.
Yaani mkiwa karibu hata kufanyiana umafia Ni kazi mno Kuna Kama karoho kanakusuta.
Nimwambie tu ukiwa nje ulionana na mweusi mwenzako lazima afurahi atabasamu so jiulize why anafurahi. Hata ukiwa umedondoka chini yeye ndiye atapita kukuuliza Kuna Nini angalau aone lkama anaweza akakusaidia
Inafika aisee vitu vimepanda bei mno na wao ukute wananunua vitu supermaket vitu vina beiMboga saba ya wapi watoto wawili watumie million 15 kwa mwezi? Hata Kama wanakula ng'ombe mzima kwa siku haiwezi fika iyo hela
Yaani wazee wengine sijui vipi, kwani alishindwa nini kumzalisha tu na kulea watoto wake, kulikuwa na haja gani ya kuoa katika umri ule, au alirubuniwa nini?Kuoa uzeeni ni kuleta balaa nyumbani
Yaani wazee wengine sijui vipi, kwani alishindwa nini kumzalisha tu na kulea watoto wake, kulikuwa na haja gani ya kuoa katika umri ule, au alirubuniwa nini?
Starehe 90M???! Kudadeki walahi
Hiyo ni kwa mwaka mkuu, kila mwezi si chini ya 7milStarehe 90M???! Kudadeki walahi
Ndio ila baba yao kutokana na kwamba yeye ndiye baba alikuwa na namna na juhudi za kipekee na za aina yake kabisa katika kuzinyumbulisha hizo mali kuhakikisha zinazalisha kiasi hicho cha oesa alichowapa. Hawa wasimamizi sio baba wa watoto na wala hawana njia kama zile za baba yao katika kuzitumia maliAnataka pesa kutoka kwenye mali za baba ya hao watoto.
Hawa wanaume sijui huwa wanawaza nini kwenda kuoa watoto wao.
Mengi na utajiri wake ameacha matatizo lukuki.
Ni furahabgani ambayo angeikosa kamaAlikuwa anataka furaha asioe kisa nin
Mil 15? Dah. Kwa mwezi???Inafika aisee vitu vimepanda bei mno na wao ukute wananunua vitu supermaket vitu vina bei
Na hawali kimaskin upooo