Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mzee kabla hajafariki ndo alivowazoesha.....View attachment 2356573
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa watoto walioitwa.
Mahakama pia imesema kuwa Mwombaji ametaja biashara nyingi kuwa ni ushahidi wa mapato yanayotokana na biashara inayohusishwa na mirathi, hata hivyo watu aliyowaomba matunzo mbele ya mahakama ni wasimamizi wa mali za marehemu.
Mapato yanayotokana na mirathi ya marehemu si mali ya walalamikiwa pekee bali ni mali ya mirathi ambayo imeshughulikiwa mbele ya Mahakama ya Mirathi. Waliyohojiwa wangekuwa baba mzazi wa watoto Mahakama ingewashikilia vinginevyo.
Kwa kuwa hakuna ubishi kwamba mhojiwa kwa nafasi yake ya wasimamizi wamewajibika kuwakimu watoto mahitaji ya msingi, wanapaswa kuendelea na malezi ya watoto kulingana na uwezo na nafasi zao.
Pia, suala la pili la uamuzi ni suala la malimbikizo na amri inayowataka walalamikiwa kutoa matunzo kwa watoto waliotajwa hadi watimize umri wa miaka 18. Ni ukweli kwamba Sheria ya Mtoto ilitungwa ili kuhudumia ustawi wa mtoto. Hata hivyo, tangu awali ni lazima ieleweke kwamba usimamizi wa mali ya marehemu sio jukumu la kudumu.
Kutokana na maelezo ya pande zote, hakuna ubishi kuwa katika shauri la mirathi namba 39 la mwaka 2019 walalamikiwa waliotajwa waliteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi ya marehemu Dk. Reginald Abrahaman Mengi.
Kwa mujibu wa kifungu cha 109 cha mirathi na usimamizi wa Sheria ya Mali majukumu ya wasimamizi ni kukusanya na kusambaza mali za marehemu kwa warithi halali. Jukumu hilo linaisha mara baada ya wasimamizi kuwasilisha hesabu. Mapato ambayo mwombaji anaomba kutunza watoto wake hadi watimize umri wa miaka 18 yakitoka katika mirathi ya marehemu ambapo walalamikiwa ni wasimamizi tu na sio wamiliki.
Kesi ya uthibitisho ni mbele ya mahakama kuu kwa hivyo mahakama ya watoto sio mahakama inayofaa kwa mwombaji kuomba maombi haya. Kadhalika, mahakama hii haiwezi kuwaamuru walalamikiwa kama wasimamizi wa mali za marehemu walipe malimbikizo kutokana na jinsi marehemu alivyokuwa akitunza watoto wake enzi za uhai wake.
Marehemu alikuwa akitoa mahitaji ya watoto wake kwa vile alikuwa baba mzazi wa watoto waliotajwa, na njia na namna zake zilifanikisha mipango yake. Waliohojiwa si wazazi wa watoto, wao ni walezi tu na wasimamizi wa mali za marehemu.
Zaidi ya hayo, kwa kuwa kuna kesi zinazoendelea za mirathi ambazo zote zinalenga kuhakikisha mirathi ya marehemu inagawiwa kwa haki kwa warithi halali, ni vyema mwombaji kupeleka maombi yake mbele ya mahakama ya mirathi na siyo mahakama ya watoto.
Jackline ni Dada yako? Tafuta vyako usitegemee mali ya shemeji yako marehemu Reginald mengi,Tena jackline tafuta kabisa wachumi waestimate mapato yote yanayoingia katika vyanzo vyote alivyoviacha marehemu kama inaingia billion 10 kwa mwaka ukipewa hata ka 1b sio mbaya
Wewe kinakuuma nini siwatoto wa mzee mengi wale. Acha wale mali za baba yao. Wakati mzee mengi anapambania kutafutia watoto wake mzee wako alikuwa bize anavaa mlegezoJackline ni Dada yako? Tafuta vyako usitegemee mali ya shemeji yako marehemu Reginald mengi
Mshahara wa mfanyakazi U.s wa kawaida kiwandani(mbeba box) ni Usd 24k upto 35k Anually! sasa huyu bi mkubwa anademand more than that kwnye leisure si kufuru hyo aisee!!Hiyo 90M kwa mwaka ni takribani USD 38500 si pesa ya kutisha kwa kustarehe kwa watoto 2 + mama yao + beki tatu kwa wenye pesa zao.
Sisi tusio nazo ndio tunaona pesa nyingi.
Tukaze matako kutafuta pesa nasi mwaka mmoja tuwe na matumizi ya luxury zaidi ya 90M kwa mwaka.
Pensheni Ya MwalimuStarehe 90M???! Kudadeki walahi
Sasa Mbeba box ameingiaje hapa?Mshahara wa mfanyakazi U.s wa kawaida kiwandani(mbeba box) ni Usd 24k upto 35k Anually! sasa huyu bi mkubwa anademand more than that kwnye leisure si kufuru hyo aisee!!
Pesa ndogo sana hiyo.Starehe 90M???! Kudadeki walahi
Eti wanakula gold duu umenichekeshajeInfact yeye hana mchango wowote. Hao watoto ni kitega uchumi chake. Matumizi million 15 kwa mwezi jamani. Hao watoto wanakula dhahabu?
😂😂😂🤣🤣🤣😂😂kuogelea na kula aiskrim
Sio wachaga tuu washamba woteee uzeen ndo wanaona pa kuanzia kula starehe na makahabaWazee wa kichaga wanazibukia uzeeni ujanani wako bize kusaka pesa.
Yaani wanaenda vice versa
I
Uruka stageSio wachaga tuu washamba woteee uzeen ndo wanaona pa kuanzia kula starehe na makahaba