Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hiyo 90M kwa mwaka ni takribani USD 38500 si pesa ya kutisha kwa kustarehe kwa watoto 2 + mama yao + beki tatu kwa wenye pesa zao.Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa ?
Kama baba yao yupo yes. Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa? Tuanzie hapo kwanza.Hiyo 90M kwa mwaka ni takribani USD 38500 si pesa ya kutisha kwa kustarehe kwa watoto 2 + mama yao + beki tatu kwa wenye pesa zao.
Sisi tusio nazo ndio tunaona pesa nyingi.
Tukaze matako kutafuta pesa nasi mwaka mmoja tuwe na matumizi ya zaidi ya 90M kwa mwaka.
Anataka pesa kutoka kwenye mali za baba ya hao watoto.Kama baba yao yupo yes.Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa ?Tuanzie hapo kwanza.
Lazima akubali maisha hayawezi kuwa sawa. Kuna before, during and after Mengi.Anataka pesa kutoka kwenye mali za baba ya hao watoto.
Mengi alioa ili kuipa raha nafsi yake na alifanikiwa kwa hilo.Kuoa uzeeni ni kuleta balaa nyumbani
IKuoa uzeeni ni kuleta balaa nyumbani
IKuoa uzeeni ni kuleta balaa nyumbani
Ana tamaa Sana Jacky na Kuna wanasheria ktk hii kesi wanapiga pesa Sanaa!Infact yeye hana mchango wowote. Hao watoto ni kitega uchumi chake. Matumizi million 15 kwa mwezi jamani. Hao watoto wanakula dhahabu?
Umesahau million 15 ni kwa mwezi.Tuchukulie sasa wanamiaka 9 had kufika 18 nadhan atavuna kibunda haswaa
9×mil 700 = bil 6.3 hahaha jack hatarii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kiinua mgongo cha Mwalimu hichi baada tena baada ya kunyonywa kwa miaka yake 40 ya utumishiStarehe 90M???! Kudadeki walahi