Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Kumbe mzee kabla hajafariki ndo alivowazoesha.....

Shida madingi wakizeeka wanahisigi kila mchongo anaopelekewa na wanae anahisi anapigwa,so bora aoe tu maduu wa mjini.
 
Mshahara wa mfanyakazi U.s wa kawaida kiwandani(mbeba box) ni Usd 24k upto 35k Anually! sasa huyu bi mkubwa anademand more than that kwnye leisure si kufuru hyo aisee!!
 
Ngoja tuendelee kutafuta hela huku tukiwa mbali na wanawake.
Mwanaume akikaa bila mwanamke anakua amepingu, kwa hiyo changamoto za kukaa bila mwanamke ni nyingi sana.

Lakini kwa mtindo huu ni heri mara elfu kukaa bila mwanamke kwa maslahi ya maisha yako hapa duniani na ahera.

Kama huko ahera kuna kupumzika kwa amani naamini kabisa mzee bado hajapumzika kwa vile bado aliowaacha hawajamruhusu kupumzika.
 
Mshahara wa mfanyakazi U.s wa kawaida kiwandani(mbeba box) ni Usd 24k upto 35k Anually! sasa huyu bi mkubwa anademand more than that kwnye leisure si kufuru hyo aisee!!
Sasa Mbeba box ameingiaje hapa?
Tujue kuwa wanapokea hizo pesa au?
Mengi alikuwa mfanyabiashara na tajiri hapa Tz sio Mbeba box huko USA.
 
Jackie anashindwa kujua kuwa Mengi haikuwa mmiliki wa Kampuni yeyote, Mengi alikuwa mwenyekuti wa makampuni ya IPP

Ni sawa na mke wa meneja wa Azam aende kudai urithi kwa watoto wa Bakhresa.
Hiyo Changi anakesi ya kughushi Hari ya mirathi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…