Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Sema kwa mtu mwenye networth ya $560M sio jambo la kushangaza. Hio kwa madafu tayari ni trillion ambayo iko kwenye mzunguko.

55% ya Faida yake akiichukua mwenyekiti tu ni hela ndefu sana kila mwaka. Chukulia faida kwa mwaka iwe $60M tu.

It means mwenyekiti anakunja likely $35M pekeake kila mwaka wa biashara. Hio kwa madafu tunazungumzia 75B kila mwaka. Ukiigawa kwa mwezi maana yake haipungui 6B kila mwezi kama gawio la mzee Mengi.

Anacho claim huyo dada kinawezekana kabisa kupewa.
 
Huyo wakili aliyemshauri hivyo naye ni kilaza kweli kweli...
 
Sema kwa mtu mwenye networth ya $560M sio jambo la kushangaza. Hio kwa madafu tayari ni trillion ambayo iko kwenye mzunguko.

55% ya Faida yake akiichukua mwenyekiti tu ni hela ndefu sana kila mwaka. Chukulia faida kwa mwaka iwe $60M tu.

It means mwenyekiti anakunja likely $35M pekeake kila mwaka wa biashara. Hio kwa madafu tunazungumzia 75B kila mwaka. Ukiigawa kwa mwezi maana yake haipungui 6B kila mwezi kama gawio la mzee Mengi.

Anacho claim huyo dada kinawezekana kabisa kupewa.
Kuna watu wanajilipa 4000 USD kwa siku kwa ajili ya matumizi na Bata. Kwa siku maamaee
 
Mengi alikua na net worth ya over 500M USD yani zaidi ya 1TB madafu. Pesa ndogo sana kumuachia spouse wako haifiki hata 1B TSH. I believe Jack ana akili na mpambanaji anadai zaidi ya hiyo.
 
Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa?

come on hela haifiki hata 1B madafu ndo awe tajiri namba moja Africa? Hawi tajiri namba moja TZ let alone Africa. Hiyo ni hela ya nyumba za watu tu hapo DSM.

Kiuhalisia hii hela ni ndogo sana kumuachia spouse wako mwenye watoto wako wawili wakati Mengi alikua na net worth ya over 500M USD zaidi ya 100B madafu.
 
Ndio maana mimi na umri wangu na kustaafu kwangu mabinti nawaogopa sana,wao wanawaza pesa tu sio mapenzi.

Yaani binti awe mzuri vipi au akae uchi mm napita tu maana najua hii ni hatari kwa maisha yangu ya sasa na yajayo.

Wastaafu tutulie njia kuu au tutafute wazee wenzetu,tukihangaika na hawa mabinti wa mwendokasi imekula kwetu mazima tukiwa hai au kaburini.
Kula starehe mkuu, ujibane kisa nini?
Unaacha mali zitunze familia yako ukifa lkn anatokea ndugu yako kusikojulikana anawapoka mali wanabaki maskini....

Kwa niliyoyashuhudia familia nyingi sana wazazi walikua matajiri watoto wanavyoishi sasa hivi bora usiwaachie hata sh 100.
 
Mengi alikua na net worth ya over 500M USD yani zaidi ya 100B madafu. Pesa ndogo sana kumuachia spouse wako haifiki hata 1B TSH. I believe Jack ana akili na mpambanaji anadai zaidi ya hiyo.
Hio hela ni trillion 1.33 za madafu,.we unaongelea 100B hela ya ruzuku tu 😂😂😂
 
Kama baba yao yupo yes. Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa ?Tuanzie hapo kwanza.
Kwani baba yao si alikua anazitoa kwenye biashara zake? Biashara si zipo?

Nyie ndio walewale wanyanyasaji,
Utaskia ada kubwa sana hiyo apelekwe st mary
 
Mengi alikua na net worth ya over 500M USD yani zaidi ya 100B madafu. Pesa ndogo sana kumuachia spouse wako haifiki hata 1B TSH. I believe Jack ana akili na mpambanaji anadai zaidi ya hiyo.
Kwa nilivyoelewa, hii ni case kapeleka mahkama ya watoto kudai malimbikizo, marehemu akiwa hai alikuwa anatoa pesa hiyo Kwa mwaka. So hiyo sio urithu Bali anadai matumizi ya watoto
 
Kula starehe mkuu, ujibane kisa nini?
Unaacha mali zitunze familia yako ukifa lkn anatokea ndugu yako kusikojulikana anawapoka mali wanabaki maskini....

Kwa niliyoyashuhudia familia nyingi sana wazazi walikua matajiri watoto wanavyoishi sasa hivi bora usiwaachie hata sh 100.
Dogo anatembeza sumu ya mende kunguni kiroboto door to door 😂😂😂 wakati mzee wake aliacha B1
 
Kwa nilivyoelewa, hii ni case kapeleka mahkama ya watoto kudai malimbikizo, marehemu akiwa hai alikuwa anatoa pesa hiyo Kwa mwaka. So hiyo sio urithu Bali anadai matumizi ya watoto

That makes sense.
 
Kwanini asioe?
Asifanye starehe zake kisa wewe uridhi mali? Tafuta zako.
Sawa huoni tabu wanayo sumbuana nayo kwa sasa. Maisha hatupangiani ila kwenye kuambiana ukweli tunaambiana. Wanawake wengi chanzo cha matatizo na migogoro
 
Ndio maana mimi na umri wangu na kustaafu kwangu mabinti nawaogopa sana,wao wanawaza pesa tu sio mapenzi.

Yaani binti awe mzuri vipi au akae uchi mm napita tu maana najua hii ni hatari kwa maisha yangu ya sasa na yajayo.

Wastaafu tutulie njia kuu au tutafute wazee wenzetu,tukihangaika na hawa mabinti wa mwendokasi imekula kwetu mazima tukiwa hai au kaburini.
Yule wa mrema ni binti kwani mkuu.
Inshu kuoa uzeeni ni kuleta shida tu,haijalishi unamuoa nani?Kama unapesa ninkazi lakn Kama huna hkuna shida sanaaa
 
Back
Top Bottom